Tangu 2001 mpaka 2008, maisha yalikuwa tofauti sana

Mlekule sumbwa moja hiyooo
 
2001 Kambi ya JWTZ ukumbi wa Mess Chandamari Walinikatalia kuangalia Tv kisa Nimetokea FFU ,Hapo Nimetoka kambi ya FFU nilipo kuwa nakaa Coz zilikuwa zimepakana..

Watu walikuwa wengi muda huo Nje nilibaki pekeyangu..Basi nikaona hawa watanipanda kichwani..Aisee nilikusanya Kanda mbili, viatu, na chochote kilicho kuwa pale Nje nikaenda kutupa vyote kwenye shimo la Choo Me nikarudi zangu Home
Sijui huko nyuma nini kiliendelea
 
Na sisi ambao Utoto wetu ulikuwa ni 70s tunaweza comment?Au huu uzi ni wa watoto wetu?
πŸ˜‚πŸ˜‚ Karibu sana mkuu! Huu uzi si wa watoto wetu pekee, hata wahenga wa miaka ya 70 tunawahitajiβ€”ndio wenye hazina ya story na uzoefu wa kweli.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mkuu hapo hasira ilikupandisha mpaka ukawa β€œoperation ya usiku” mwenyewe! Kanda mbili, viatu na kila kilichokuwa nje ukaweka kwenye shimo la choo halafu ukasepa zako home πŸ˜‚πŸ˜‚. Kilichofuata baada ya hapo ndio ningependa kusikia, maana hapo ndipo movie ilipoanza!
 
Ilikuwa noma mzee siku walinikamata Wajeda naiba Mapera kambini kwao wenzangu wote walikimbia mimi nilipanda Juu zaidi ya mti..Nili kuwa natoa maelezo huku nashuka chini😁 wakaniambia nile yote
 
Ilikuwa noma mzee siku walinikamata Wajeda naiba Mapera kambini kwao wenzangu wote walikimbia mimi nilipanda Juu zaidi ya mti..Nili kuwa natoa maelezo huku nashuka chini😁 wakaniambia nile yote
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mzee wewe ulikuwa umeamua kuwa ndege siku hiyo! Wenzako wakakimbia, wewe ukapanda juu ya mti na bado unaendelea kutoa maelezo huku unashuka. Halafu mwisho wakaamua, β€œbasi kula yote!” πŸ˜‚πŸ˜‚ Hii story ni noma sana.
 
Kipindi hicho tukienda shule tunapewa Sh Ishirini na Tano (25 Tsh) ya kula. Imagine 10k ilikuwa na nguvu kiasi gani ikiwa mfukoni. 😁
 
Kipindi hicho tukienda shule tunapewa Sh Ishirini na Tano (25 Tsh) ya kula. Imagine 10k ilikuwa na nguvu kiasi gani ikiwa mfukoni. 😁
πŸ˜‚πŸ˜‚ 25/= ya kula tu, halafu 10,000/= ilikuwa hela ya maana kweli. Leo ukimwambia Gen Z thamani ya hiyo 10K atadhani unamsimulia hadithi za kubuni! 😁
 
Na mimi nakupumbua maisha yalikuwa yana raha na furaha. Life lilikuwa simple na tuliishi kijamii zaidi. Undugu na Ujirani ulikuwa na nguvu sio kama sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…