Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
Mwaka huu pekee 7000 tayari wamechinjwa kisa imani yao
Haya yanatekeleezwa na Boko Haram na mashambulizi ya makundi kama vile wanamgambo wa Fulani na ISIS-West Africa Province (ISWAP).
Vikundi hivi vimewalenga Wakristo hasa katika maeneo ya kaskazini na Ukanda wa Kati, mara nyingi kupitia mauaji, utekaji nyara na uchomaji makanisa.
Ghasia hizo zinachochewa na itikadi kali zinazolenga ili kuweka mikakati yao ya itikadi yao za kuondoa uwepo wa Wakristo