Ninaamini, dini kweli ya Kiislamu haiungi mkono tabia hiyo. Hilo linafanywa na magaidi tu wenye msimamo mkali kwa kusingizia Uislamu. Bahati mbaya viongozi wa Kiislamu wenye imani sahihi, hawajitokezi na kukemea hilo na kusema kwamba hakuna Uislamu unaohusika hapo. Hili ndilo jambo ambalo viongozi halisi wa Kiislamu linawabidi kulivalia njuga ili hata Wakristu wajue kwamba hawapingwi na Waislamu bali ni magaidi tu yanayotumia mgongo wa Uislamu.Uchinjaji wa wakristu uliofumbiwa macho Nigeria. Tangu 2009 wakristu zaidi 100,000 wameuliwa na mwaka huu pekee 7000 tayari wamechinjwa kisa imani yao
Haya yanatekeleezwa na Boko Haram na mashambulizi ya makundi kama vile wanamgambo wa Fulani na ISIS-West Africa Province (ISWAP).
Vikundi hivi vimewalenga Wakristo hasa katika maeneo ya kaskazini na Ukanda wa Kati, mara nyingi kupitia mauaji, utekaji nyara na uchomaji makanisa.
Ghasia hizo zinachochewa na itikadi kali zinazolenga ili kuweka mikakati yao ya itikadi yao za kuondoa uwepo wa Wakristo
Hii damu inapiga kelele na Nigeria litakuwa taifa la KRISTOMwaka huu pekee 7000 tayari wamechinjwa kisa imani yao
Haya yanatekeleezwa na Boko Haram na mashambulizi ya makundi kama vile wanamgambo wa Fulani na ISIS-West Africa Province (ISWAP).
Vikundi hivi vimewalenga Wakristo hasa katika maeneo ya kaskazini na Ukanda wa Kati, mara nyingi kupitia mauaji, utekaji nyara na uchomaji makanisa.
Ghasia hizo zinachochewa na itikadi kali zinazolenga ili kuweka mikakati yao ya itikadi yao za kuondoa uwepo wa Wakristo
Uislam ni mzigo kwa duniaMwaka huu pekee 7000 tayari wamechinjwa kisa imani yao