Tangu 2009 wakristu zaidi 100,000 wameuliwa Nigeria. Kwanini unyama huu unafumbiwa macho?

Wao ni weusi hakuna atakaye jali ni kama yanayotokea Sudan, hakuna anaye jali.
 
Ninaamini, dini kweli ya Kiislamu haiungi mkono tabia hiyo. Hilo linafanywa na magaidi tu wenye msimamo mkali kwa kusingizia Uislamu. Bahati mbaya viongozi wa Kiislamu wenye imani sahihi, hawajitokezi na kukemea hilo na kusema kwamba hakuna Uislamu unaohusika hapo. Hili ndilo jambo ambalo viongozi halisi wa Kiislamu linawabidi kulivalia njuga ili hata Wakristu wajue kwamba hawapingwi na Waislamu bali ni magaidi tu yanayotumia mgongo wa Uislamu.
 
Hii damu inapiga kelele na Nigeria litakuwa taifa la KRISTO
 
Kwakweli kuna nchi wakristo wanateseka wana lakini dunia imekaa kimya kama haioni.

Hii sio haki kabsa.

Mimi siamini hizi dini za kuletwa na wakoloni lakini naumizwa na mateso ya binadamu hao.
 
Uislam ni mzigo kwa dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…