FORBIDDEN HISTORY
JF-Expert Member
- Jul 28, 2024
- 202
- 521
EtiiiiiJukwaa liendelee kubakia na harmony.
Umekuja kivingine nembelekoππWalikuwa wanakukosesha amani kwa namna gani?
Kumbe kamanda upo?We hata sikufahamu nikukoseshe amani kwa lipi hasa? Balance shobo zako vzr!
Nipo nashangaa nzi kibao hafu id sina nazo mazoea kabisa!Kumbe kamanda upo?
Ndio nimekuja kivingine kama wewe uliyeanzisha mada halafu ukalog in kwa hii ID nyingine kujibu commentsUmekuja kivingine nembelekoππ
Ko yeye ndio fukua fukua Matipo Ids? πππMbona Adriz mtu poa sana sema ni vile anawaumbua na matipo ids zenu za kutukana watu humu..!!
Na kafukua kweli πΉπΉKo yeye ndio fukua fukua Matipo Ids? πππ
πΉπΉπΉ Ukikosa kazi ya kufanya lazima uwe chakaramu wa ids mbalimbali..!!Matipo Ids ktk 1 na 2. Aloooh πππ
Na ukishazoea Ban bas JF haikusumbui.Na kafukua kweli πΉπΉ
Tumezijua hadi Iβd za mademu madume..!!
Ila ban inauma ukizoea kushinda JF uduguu
πππ JF inawapeleka puta wana na waja.πΉπΉπΉ Ukikosa kazi ya kufanya lazima uwe chakaramu wa ids mbalimbali..!!
Ewaaaah!!Na ukishazoea Ban bas JF haikusumbui.
πππ