Tupia link ya hiyo thrradKuna thread inasema Mshana amefariki dunia, huwa nachat nae whatsapp lakini toka jumapili namtext hazijawa delivered na nikiangalia last seen inaonesha october 8 saa tatu asubuhi.
Duuu mpigie simuKuna thread inasema Mshana amefariki dunia, huwa nachat nae whatsapp lakini toka jumapili namtext hazijawa delivered na nikiangalia last seen inaonesha october 8 saa tatu asubuhi.
Hamna bhana labda atakuwa anakusanya facts zake za kichawi za kutuletea humu[emoji23] [emoji23]Rungu la TCRA limemkuta na ile simu yake ya laini 6.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Rungu la TCRA limemkuta na ile simu yake ya laini 6.
Ban ina avatar yake maalumPengine kapigwa BAN jf sometime ni [emoji91] [emoji91] . Yaani ukileta ujinga tu ha ha yatakayokukuta utajijua wewe na simu yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji144] [emoji144]Mshana jr asije kuwa ndo yule mwalimu wa mbeya day? maana hapa si tunatumia fake ID?hahahaha nmewaza tu
Wandugu,
Kati ya watu ninaowakubali JF, Mshana Jr ni namba moja. Si kawaida kukaa nusu saa bila kukuta walao comment yenye busara ya huyu member mwenzetu.
Kwakuwa nimekosa vitu vyake adimu kule Jamii Intelligence na Jamii Photo, nikaamua niangalie profile yake na kushtushwa kukuta" Mshana Jr was last seen: Saturday at 09:33 Am."Hili jambo si la kawaida kwa nguli huyu wa JF.
Naomba kujuzwa kwa wale wamjuaye, vipi ana uhusiano wowote na Scorpion au yeye ndiye Scorpion mana tulio wengi humu tunatumia ID fake.
NIMEMISS BUSARA NA MAWAZO YAKE KWA SIKU NNE SASA.