Tangu akamatwe Scorpion, Mshana Jr hajaonekana JF

Tangu akamatwe Scorpion, Mshana Jr hajaonekana JF

Kuna watu wataikacha JF kwa muda ili kuona kama watatafutwa kama mashana....Please if you dare to get lost, dare at your own risk!....nobody will utter for your missing.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilipoona hii post nimeshtuka sana.Nilikuwa nasubiri ifike Nov.8[ungetimiza mwezi bila kuonekana jf] ili nijiaminishe kuwa umeaga....mashindano.Mkuu ulivyoteja mwenye addiction na JF ukae mwezi bila kulog in?

Anyway karibu tena Bwashehe.
 
Back
Top Bottom