Tangu akamatwe Scorpion, Mshana Jr hajaonekana JF

Tangu akamatwe Scorpion, Mshana Jr hajaonekana JF

Kuna thread inasema Mshana amefariki dunia, huwa nachat nae whatsapp lakini toka jumapili namtext hazijawa delivered na nikiangalia last seen inaonesha october 8 saa tatu asubuhi.
Huko whatsapp huwa mnadiscuss nini?[emoji1]
 
Wandugu,

Kati ya watu ninaowakubali JF, Mshana Jr ni namba moja. Si kawaida kukaa nusu saa bila kukuta walao comment yenye busara ya huyu member mwenzetu.

Kwakuwa nimekosa vitu vyake adimu kule Jamii Intelligence na Jamii Photo, nikaamua niangalie profile yake na kushtushwa kukuta" Mshana Jr was last seen: Saturday at 09:33 Am."Hili jambo si la kawaida kwa nguli huyu wa JF.

Naomba kujuzwa kwa wale wamjuaye, vipi ana uhusiano wowote na Scorpion au yeye ndiye Scorpion mana tulio wengi humu tunatumia ID fake.

NIMEMISS BUSARA NA MAWAZO YAKE KWA SIKU NNE SASA.

Anamshughulikia scorpion atoke kimiujiza.
 
Jamani wale mliokuwa mnapenda kumtania mshana jr acheni maana nasikia sasa hivi uchawi wake ni mara 61.87103 zaidi ya ule alio kuwa nao.
mshana jr wewe sio mtu wa mchezo mchezo nasikia huko uliko kua ulikua ukitikisa kibuyu chako JF nzima inatikisika[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimerejea kiongozi hata huko nilikokuwa hali pia ilikuwa tete nilikuwa kila wakati natamani kutupia lakini....
Mortuary attendant naona ulikuwa bize sana[emoji1] .Kipindi hiki vifo na ajali viliongezeka sana au vipi?Au mambo ya mizizi?
 
Back
Top Bottom