Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh angalau nitalala. Nilishapeleka sara kwenye Temple wanaomba kila siku.Safe n sound dada
Halafu hiyo avatar yako imekaa kijinijini, ukoo wa mshana jr si bure.Alikuwa humu JF kama dk 48 zilizopita.
Asante lovely sissyDuh angalau nitalala. Nilishapeleka sara kwenye Temple wanaomba kila siku.
Swahiba kwema? kitambo mpaka watu wakaanza kukurehemu wengine wakahusisha na ngeAsante lovely sissy
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji25] [emoji24] [emoji87] [emoji15]Swahiba kwema? kitambo mpaka watu wakaanza kukurehemu wengine wakahusisha na nge
Huko whatsapp huwa mnadiscuss nini?[emoji1]Kuna thread inasema Mshana amefariki dunia, huwa nachat nae whatsapp lakini toka jumapili namtext hazijawa delivered na nikiangalia last seen inaonesha october 8 saa tatu asubuhi.
Hali ilikuwa ya khatari swahiba mpaka uzi ukafunguliwa nikajiuliza kulikoni swahiba?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji25] [emoji24] [emoji87] [emoji15]
Wandugu,
Kati ya watu ninaowakubali JF, Mshana Jr ni namba moja. Si kawaida kukaa nusu saa bila kukuta walao comment yenye busara ya huyu member mwenzetu.
Kwakuwa nimekosa vitu vyake adimu kule Jamii Intelligence na Jamii Photo, nikaamua niangalie profile yake na kushtushwa kukuta" Mshana Jr was last seen: Saturday at 09:33 Am."Hili jambo si la kawaida kwa nguli huyu wa JF.
Naomba kujuzwa kwa wale wamjuaye, vipi ana uhusiano wowote na Scorpion au yeye ndiye Scorpion mana tulio wengi humu tunatumia ID fake.
NIMEMISS BUSARA NA MAWAZO YAKE KWA SIKU NNE SASA.
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani wale mliokuwa mnapenda kumtania mshana jr acheni maana nasikia sasa hivi uchawi wake ni mara 61.87103 zaidi ya ule alio kuwa nao.
mshana jr wewe sio mtu wa mchezo mchezo nasikia huko uliko kua ulikua ukitikisa kibuyu chako JF nzima inatikisika[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nimerejea kiongozi hata huko nilikokuwa hali pia ilikuwa tete nilikuwa kila wakati natamani kutupia lakini....Hali ilikuwa ya khatari swahiba mpaka uzi ukafunguliwa nikajiuliza kulikoni swahiba?
Mortuary attendant naona ulikuwa bize sana[emoji1] .Kipindi hiki vifo na ajali viliongezeka sana au vipi?Au mambo ya mizizi?Nimerejea kiongozi hata huko nilikokuwa hali pia ilikuwa tete nilikuwa kila wakati natamani kutupia lakini....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mortuary attendant naona ulikuwa bize sana[emoji1] .Kipindi hiki vifo na ajali viliongezeka sana au vipi?Au mambo ya mizizi?