Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi niliachwa kisa kuku, yaani toka alivyoanza kufuga kuku tu akanisahau. Eti wanamuwazisha daah
imagine nazidiwa thamani na kwiyo kwiyo 80
[emoji17]
Kwnge kabisa nyieNa nyie ni kondoo 😁
Karibu na Job,alipomwona mke wa Yesu na Maria?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]unapewa za Galilaya sio
umbwaaaa koko nyie 😁Kwnge kabisa nyie
tutukanane😂😂😂Aisee ngoja nikufuate pm nikutukabe Vizuri
Njoo nakusubiria na makombora. Chap chaptutukanane😂😂😂
Baada ya mwaka utamuona kwenye kideo akiwa kweye foleni ya wadada wanaotaka wapate ndoa ya muujiza.Huyu manzi wangu nampenda sana lakini tangu alijue kanisa la Efatha imekuwa nongwa, muda wote yuko bize na vikao vya kanisani hta mzigo sipewi kabisa this time.
Nimejaribu kumtia mikwala but amegoma na hataki hata kunisikiliza yaani inapita siku bila kuonana nae kwake fresh tuh, nahisi penzi langu ndio linaondoka ivyo au sijui labda kuna mpiga vinanda huko ameshatia kitumbua changu mchanga.
Hawa watumishi sijui wanawaambiaga nini mademu zetu hadi wanachange ghafla, inall namsaka nimtie mara ya mwisho halafu nimuachie huyo Mwingira wake coz nimeshachoka! japo itauma ila kwa muda tuh
I repeat. Man downMan down
Ushauri wa Evelyn munyu huwa uko clear siku zote[emoji1787]mfate church nenda nae day 1, day 2, day 3 unakula mzigo umaamsha zako.... mbona umepata mawazo nae wanawake si tupo wengi? au ni mtamu sana??
Barikiwa mtumishi 😁Ushauri wa Evelyn munyu huwa uko clear siku zote[emoji1787]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji86][emoji86][emoji86]Mimi niliachwa kisa kuku, yaani toka alivyoanza kufuga kuku tu akanisahau. Eti wanamuwazisha daah
imagine nazidiwa thamani na kwiyo kwiyo 80
[emoji17]
sawa mkuu nimekupataKeshampata bwana mpya ktk hilo dhehebu, na huyo bwana anajiita ni bwana wa mabwana tena bwana wa wajane pia mfariji wa wanyonge na anao wivu balaa,[emoji3061][emoji23][emoji23].
Sasa kwa cares anazopata huko unatarajia atakukumbuka? Ukichangia ni kuwa ktk hayo magenge yao wanalishwa sumu na viongoz wao kuwa huko makanisani kuna mibaraka ya kumwaga[emoji23], pia mume bora wanaambiwa hutokea huko huko aliko bwana wao.
Wanawake walivyo wepesi wa kukubali mambo bila kutumia akili huo udhaifu wao ni ngumu kuukwepa[emoji23][emoji23].
SOLUTION;- mfuate wew ndipo utafanikiwa kumpata, ama mteme mazima na ndyo maamuzi ya kiume, hutompata akishaonja utamu wa Yule bwana na akishalewa mapambio ya dini, ni ngumu sana kumchomoa.
Dini ni ulevi mbaya sana kwa wanawake na baadhi ya wanaume wapumbavu [emoji23][emoji23].
Kwisha habari yako kijanaView attachment 2072642
Huyu manzi wangu nampenda sana lakini tangu alijue kanisa la Efatha imekuwa nongwa, muda wote yuko bize na vikao vya kanisani hta mzigo sipewi kabisa this time.
Nimejaribu kumtia mikwala but amegoma na hataki hata kunisikiliza yaani inapita siku bila kuonana nae kwake fresh tuh, nahisi penzi langu ndio linaondoka ivyo au sijui labda kuna mpiga vinanda huko ameshatia kitumbua changu mchanga.
Hawa watumishi sijui wanawaambiaga nini mademu zetu hadi wanachange ghafla, inall namsaka nimtie mara ya mwisho halafu nimuachie huyo Mwingira wake coz nimeshachoka! japo itauma ila kwa muda tuh
Hivyo hivyo mkuu, halafu wa kwangu kawa muongeaji kinoma yaani anahisi anaongea point muda wote... but namchora tu cz nimempa mwezi mmoja akizingua nitakaza roho kiumeanakwambia dhambi, anajiskia vibaya mwanzo alikuwa hafikirii vizur