Tangu alijue kanisa ndio anazidi kunisahau

Tangu alijue kanisa ndio anazidi kunisahau

hivyo hivyo mkuu, halafu wa kwangu kawa muongeaji kinoma yaani anahisi anaongea point muda wote...

Mle mle anauliza swali ukijibu kirahis anakushushia waraka, kama unavyosema anaongea mwenyewe anajiona yuko deep mpaka unabaki kushangaa wtf is happening, akienda church asubuhi mpaka jion... Wewe amua uamuzi wako
 
Back
Top Bottom