Tangu alijue kanisa ndio anazidi kunisahau

Labda kakutana na mafundi wanaokuzidi huko kanisani. Jua tu huko kanisani kuna wanafiki wa kiwango cha hali ya juu
 
Mimi niliachwa kisa kuku, yaani toka alivyoanza kufuga kuku tu akanisahau. Eti wanamuwazisha daah
imagine nazidiwa thamani na kwiyo kwiyo 80
[emoji17]

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Keshampata bwana mpya ktk hilo dhehebu, na huyo bwana anajiita ni bwana wa mabwana tena bwana wa wajane pia mfariji wa wanyonge na anao wivu balaa,[emoji3061][emoji23][emoji23].

Sasa kwa cares anazopata huko unatarajia atakukumbuka? Ukichangia ni kuwa ktk hayo magenge yao wanalishwa sumu na viongoz wao kuwa huko makanisani kuna mibaraka ya kumwaga[emoji23], pia mume bora wanaambiwa hutokea huko huko aliko bwana wao.

Wanawake walivyo wepesi wa kukubali mambo bila kutumia akili huo udhaifu wao ni ngumu kuukwepa[emoji23][emoji23].

SOLUTION;- mfuate wew ndipo utafanikiwa kumpata, ama mteme mazima na ndyo maamuzi ya kiume, hutompata akishaonja utamu wa Yule bwana na akishalewa mapambio ya dini, ni ngumu sana kumchomoa.

Dini ni ulevi mbaya sana kwa wanawake na baadhi ya wanaume wapumbavu [emoji23][emoji23].

Kwisha habari yako kijana
 
Baada ya mwaka utamuona kwenye kideo akiwa kweye foleni ya wadada wanaotaka wapate ndoa ya muujiza.
 
'Wanawake [wasiojitambua] wakishaokoka, wanakuwa na waume watatu Mmewe, Kanisa na Yesu'—Mchungaji Joshua Maponga.
 
Mimi niliachwa kisa kuku, yaani toka alivyoanza kufuga kuku tu akanisahau. Eti wanamuwazisha daah
imagine nazidiwa thamani na kwiyo kwiyo 80
[emoji17]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji86][emoji86][emoji86]
 
sawa mkuu nimekupata
 

Niko kwenye exact same situation sijamtafuta leo siku ya pili, sema nimeona ushauri wa [mention]Evelyn Salt [/mention] nahis naroll na huu
 
Niko kwenye exact same situation sijamtafuta leo siku ya pili, sema nimeona ushauri wa [mention]Evelyn Salt [/mention] nahis naroll na huu
hivi viumbe bora vingetengewa sayari yao kabisa
 
anakwambia dhambi, anajiskia vibaya mwanzo alikuwa hafikirii vizur
Hivyo hivyo mkuu, halafu wa kwangu kawa muongeaji kinoma yaani anahisi anaongea point muda wote... but namchora tu cz nimempa mwezi mmoja akizingua nitakaza roho kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…