Ramea
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 2,146
- 4,084
Baba yangu mzazi alikuwa na historia ya kusumbuliwa na BP na hatimaye akaanza kupata dose kila siku. Baadae akaacha kutumia dawa na kumsababishia kuanguka disemba 2017 na kumuwahisha hospital ndani ya muda mfupi.
Alilazwa kwa siku 26 na baadae akaruhusiwa ingawa ugonjwa umempa ulemavu wa kudumu kwani aliparalyse upande wa kushoto mguu na mkono, suala lililomuweka kitandani hadi leo hii. Kiukweli hakuweza kuinua wala kusense kitu upande wa kushoto lakini hadi sasa zaid ya miezi 7 ameanza kuinua mguu ingawa mkono bado kabisa.
Ugonjwa huu ni wa ajabu sana mana Mzee alikuwa kichwa kweli kweli ila sasa hivi anapoteza kumbukumbu sana. Sasa nimekuja humu jamvini kuomba msaada wa kitaalamu mana Jf naijua ipo vizuri sana. Baba anarecover taratibu mnooo, na tangu turuhusiwe Hosp kila mwezi anaattend hospital ileile kwa check up na kupata dawa za BP. Pia tumejaribu sana dawa za kienyeji kadiri ya ushauri toka kwa marafiki lakini bado hajaanza kutembea.
Mazoezi ya kunyoshwa viungo anafanya kwan tulifundishwa akiwa amelazwa kwa kuwa wiki ya mwisho akiwa Hosp aliattend physiotherapy. Na kila akipelekwa hosp madokta huimiza tu mazoezi ingawa tunamfanyisha hata Mimi huwa naenda week end kwani nakofanyia kazi siyo mbali na home, namfanyisha mazoezi ya kumnyoosha had ananichukia.
Tufanye nini bhandugu baba yetu arudishe japo 65% ya afya yake ya awali.