Tangu apatwe na stroke, ni miezi saba sasa hawezi kutembea. Msaada wa kitaalam tafadhali

Ramea

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
2,146
Reaction score
4,084
Baba yangu mzazi alikuwa na historia ya kusumbuliwa na BP na hatimaye akaanza kupata dose kila siku. Baadae akaacha kutumia dawa na kumsababishia kuanguka disemba 2017 na kumuwahisha hospital ndani ya muda mfupi.

Alilazwa kwa siku 26 na baadae akaruhusiwa ingawa ugonjwa umempa ulemavu wa kudumu kwani aliparalyse upande wa kushoto mguu na mkono, suala lililomuweka kitandani hadi leo hii. Kiukweli hakuweza kuinua wala kusense kitu upande wa kushoto lakini hadi sasa zaid ya miezi 7 ameanza kuinua mguu ingawa mkono bado kabisa.

Ugonjwa huu ni wa ajabu sana mana Mzee alikuwa kichwa kweli kweli ila sasa hivi anapoteza kumbukumbu sana. Sasa nimekuja humu jamvini kuomba msaada wa kitaalamu mana Jf naijua ipo vizuri sana. Baba anarecover taratibu mnooo, na tangu turuhusiwe Hosp kila mwezi anaattend hospital ileile kwa check up na kupata dawa za BP. Pia tumejaribu sana dawa za kienyeji kadiri ya ushauri toka kwa marafiki lakini bado hajaanza kutembea.

Mazoezi ya kunyoshwa viungo anafanya kwan tulifundishwa akiwa amelazwa kwa kuwa wiki ya mwisho akiwa Hosp aliattend physiotherapy. Na kila akipelekwa hosp madokta huimiza tu mazoezi ingawa tunamfanyisha hata Mimi huwa naenda week end kwani nakofanyia kazi siyo mbali na home, namfanyisha mazoezi ya kumnyoosha had ananichukia.

Tufanye nini bhandugu baba yetu arudishe japo 65% ya afya yake ya awali.
 
Umri kma bdo anaweza kurudi asilimia flani,istoshe hosp unayomtibia iko wapi mana wataalam kwa hiyo miez 7 angekua ameweza kurudi 50%
 
Alifanya CT scan?
Nje ya dawa za pressure anatumia dawa nyingine?
Hana tatizo jingine la moyo nje ya Hypertension?

Nachojaribu kuuliza anatibiwa kama mgonjwa wa damu ilovilia kwenye ubongo au anatibiwa kama mgonjwa wa ubongo ulokosa Oxygen?

All in All kikubwa katika stroke nikuhakikisha mgonjwa anafanya Physiotherapy,Kama yuko bedridden ni kuhakikisha mnamgeuza geuza asijepata Pressure sores ambazo zitafanya watu wam neglect.
Hakikisha anazingatia matibabu maana unaweza pata Second Stroke.

Kikubwa zaidi kinachowaua hao watu wa stroke ni Kupaliwa chakula hivo kuweni makini anapolishwa.

Unaweza angaika sijui kutumia madawa ya kienyeji na Blah Blah nyingi ila ukielewa sayansi juu ya ugonjwa huo hautathubutu hata kupoteza mda na hizo dawa za kienyeji ambazo nyingi ni za kubahatisha!

Tunaweza kutembea kunyosha mikono sababu kuna Sehemu ya Ubongo inatu control kufanya hivo...Kwa wagonjwa wa Stroke sehemu hizo zinakua zimekufa kwa kukosa oxygen au kwa kuvilia damu eneo hilo!
Recovery itategemea na extent ya cells za ubongo zilizokufa na kama zimekufa zimekufa tu...Hamna Reversal!

Principle ya Stroke ndani ya mwaka mmoja ni kwamba

1)Theluthi Moja watakufa
2)Theluthi nyingine wanakua vilema na wanaitaji msaada/Tegemezi
3)Theluthi ya mwisho wanaweza ku regain na kuwa wakujitegemea kwa kila kitu.

Endelea kukazania matibabu ya hospitali ili mzee awe kwenye hiyo theluthi ya #3.

Na kawe ambassador kwa wale wagonjwa wa pressure wanaokutwa na Pressure wakafanya mzaa na matibabu ya Hospitali ya kumeza dawa mpaka umauti wao maana siku yaja!

Mwisho kabisa ujibu maswali yangu mawili nilokuuliza mwanzo wa post hii ili nipate kuongeza nyongeza yangu ambayo itamsaidia mzee katika recovery!
 
Upo vizuri mkuu ,kula like yangu hiyo
 
Uko wapi mkuu?
 
Asante kwa majibu mazuri mkuu
Mzee hatumii dawa nyingine nje ya zile za BP akina Captopril, bendro na zingine. Labda kama ana kesi mpya ikiripotiwa kwa dokta siku za clinic anaweza pewa za maumivu nk. Zipo za kuchua ambazo huwa tunanunua toka kwa wataalamu kama dawa za kisuna etc. Pia CT scan hajawahii fanyiwa. Hivyo hatujui kama anatatizo jingine zaidi ya hili la sasa.
 
Ungekuwa DAR ningekuelekeza kwa mama mmoja maeneo ya chanika. Amewasaidia wengi ikiwa ni pamoja na mimi baada ya kupata mild stroke iliyosababishwa na cervical spondylosis.
Mbona umeongea maneno mawili ya kitaalamu halafu hukuyafafanua?mild stroke na cervical spondylosis? Huyo mama ni daktari ama wa tiba mbadala?mbona mtaalamu mwingine Njunwa Wamavoko amethibitisha kitaalamu kabisa kwa kuonjesha chanzo, madhara na sehemu za mwili zinatirika ma kwamba hakuna mechanizim ya kienyeji @ MATUNGEOLOGY @ MAJIMAREFUOLOGY inayoweza kutibu hiyo kitu? vipi kuhusu wale wanaosema ni kofi la shetani?
 
Umri kma bdo anaweza kurudi asilimia flani,istoshe hosp unayomtibia iko wapi mana wataalam kwa hiyo miez 7 angekua ameweza kurudi 50%
Anatibiwa Ndanda Referral hospital, ni ya misheni na nzuri pia.
 
Hamna kitu kinaitwa Mild stroke...Labda inayoitwa Transient Ischemic Attack...Hiyo inaji reverse yenyewe hata bila dawa ndani ya saa 24 ni kama inakua bahati tu!
Kile kinachozuia Damu ku flow kwenda ubongo mara nyingi Bonge la damu linayeyuka lenyewe!

Na kuna zile unazoweza ziwahi ndani ya msaaa matatu ukazi reverse!

Ungekuwa DAR ningekuelekeza kwa mama mmoja maeneo ya chanika. Amewasaidia wengi ikiwa ni pamoja na mimi baada ya kupata mild stroke iliyosababishwa na cervical spondylosis.
 
Mkuu kuna vipimo lazima afanyiwe...
CT SCAN
MRI
Carotid Doppler
ECHO
Ni muhimu sana aisee.
 
Hamna kitu kinaitwa Mild stroke...Labda inayoitwa Transient Ischemic Attack...Hiyo inaji reverse yenyewe hata bila dawa ndani ya saa 24 ni kama inakua bahati tu!
Kile kinachozuia Damu ku flow kwenda ubongo mara nyingi Bonge la damu linayeyuka lenyewe!

Na kuna zile unazoweza ziwahi ndani ya msaaa matatu ukazi reverse!
Mkuu wewe umeweka la kisayansi mwenzako kaweka la kizwazi ila yote yana maana Sawa (mild=not severe).
Hajakosea.
 
Ungekuwa DAR ningekuelekeza kwa mama mmoja maeneo ya chanika. Amewasaidia wengi ikiwa ni pamoja na mimi baada ya kupata mild stroke iliyosababishwa na cervical spondylosis.
Aisee!! kweli pathophysiology pana sana,yaani cervical spondylosis inaweza kusababisha mild stroke(transient ischemic attack/stroke)? Itabidi nirudi shule tena,inaonekana nimeachwa sana nyuma!!
 
Asante kwa majibu mazuri mkuu
Mzee hatumii dawa nyingine nje ya zile za BP akina Captopril, bendro na zingine. Labda kama ana kesi mpya ikiripotiwa kwa dokta siku za clinic anaweza pewa za maumivu nk. Zipo za kuchua ambazo huwa tunanunua toka kwa wataalamu kama dawa za kisuna etc. Pia CT scan hajawahii fanyiwa. Hivyo hatujui kama anatatizo jingine zaidi ya hili la sasa.

Kwa kusoma comments zako nyingine nimeona huko nje kidogo ya mji!
Kisheria mgonjwa wa stroke lazima ujue ni stroke ya damu kuvilia ndani au ni damu imeganda ikaziba mishipa na kufanya ubongo kukosa oxygen!
Haya yote unayajua kwa kufanya CT-Scan japo unaweza kukisia kwa kutumia historia ya mgonjwa e.g historia ya BP inaweza kukupa clue!
Matibabu ya haya matatizo mawili utofautiana na kwa mgonjwa wako siwezi ongeza zaidi maana facility hazikuruhusu tokea mwanzo!
 
Nashukuru kwa mchango wako, suala la CT Scan nitalipa kipaumbele maana hata madokta ambao wanamhudumia huwa nawahoji sana na walishaniambia umuhimu wa kufanya kipimo hicho. Muhimbili siyo mbali kwa tatizo kama hili, siku hizi twatumia masaa machache tu toka Mtwara kwagari.
 
Back
Top Bottom