Tangu asubuhi sijauza hata Tsh. 100 aisee

Tangu asubuhi sijauza hata Tsh. 100 aisee

Biashara ina miaka 2½ lakini hakuna progess ya maana. Mwanzo nilianza vizuri ila ghafla mambo yaka kata.

Aisee nimerogwa au? nitaendeshaje familia? 😭😭😭

Nifanyeje wakuu, naombeni msiwe na masihara tafadhari, sijawahi fanyia mtu ubaya kwanini huu ugumu wote huu.

Sehemu niliopo imechangamka kibiashara, pia kuna maduka kama langu.

Kweli ukata wa namna hii, mwaka jana mwaka mzima nilipigwa na ukata mbaya nikaambulia madeni

Kinachoniumiza ni kuwa nilianza vizuri sana hadi kuongeza mzigo ghfla wateja wakakata😭😭😭😭😭😭
Fanya hivi amka asbh sana saa12 au mapemazaid ingia dukani na Biblia anza maombi ya kufungua duka ikiwezekana funga kabisa usile omba sema nafungua milango ya duka kwa jina La Yesu wateja waje kwa jina La Yesu yoyote aliyefunga suka hili uchawi urudi kwake kwa jina la Yesu baada ya maombi yasiyopungua nusu saaa fungu duka na kila baada ya muda kidogo omba omba emdelea kuomba, halafu uje hapa.kushuhudia wateja watarudi,wamefunga duka lako wewe unaona liko wazi wenzako wamelifunga.
 
Njoo PM ukombolewe......
Nitakuunga na Nabii..
Maana mpaka siredi ya kumi hatujui unauza ni dukani.....

1739124636799.png
 
Me nadhani pengine ukaogee maji ya mchele sometimes it's okay to be "DUMB HERO"
Unaongea nadharia zenye fallacies kibao. Ukiambiwa umeongea pumba,badala ya kuthibitisha sio pumba ni mchele, unaleta pumba zingine tena.

Unaweza kueleza vizuri tu nadharia yako watu wakaelewa bila dharau na dhihaka. Ila kwa kuwa huwezi,sishangai kujibu ujinga uliojibu.
 
Screenshot_20250213-124930.jpg
uwe na wakati mwema ndugu as long as mwenye uzi kaona kipi ni kizuri upande wake basi siwezi tena bishana na wewe
 
Back
Top Bottom