TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 11,763
- 11,873
Pole Kwa usumbufu Dadangu..#amesema tangia asubui hajauza hata mia _bado unauliza kama anauza mwenyewe au kaweka mtu 😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Kwa usumbufu Dadangu..#amesema tangia asubui hajauza hata mia _bado unauliza kama anauza mwenyewe au kaweka mtu 😁😁
Mkuu mi mwenyewe biashara kwangu ngumu tangu 2021 mpaka leo hali haijakaa sawa nimeshahamisha ofisi sehemu tatu ila nimekomaa tu sina mpango wa mganga wala nini cha msingi tuombe Mungu tu yeye peke ake ndo mwenye kujua hatma zetu.Ahsante hata nilidhani nimemaliza kuandika
Yani moyo wangu umekuwa mzto
Ni kwl waganga wapo au ni stori tu mkuu?
Aiseee , sawa mkuu, ahsante kwa kunitia moyo ndugu yanguMkuu mi mwenyewe biashara kwangu ngumu tangu 2021 mpaka leo hali haijakaa sawa nimeshahamisha ofisi sehemu tatu ila nimekomaa tu sina mpango wa mganga wala nini cha msingi tuombe Mungu tu yeye peke ake ndo mwenye kujua hatma zetu.
Usikate tamaa tumaini bado lipo.
Usidanganyike na mambo ya kwenda kwa waganga watazidi kukumaliza.
Amini kwenye imani yako na uamini kwamba yule aliyekuumba hatakuacha uteseke milele.
Ni hayo tu nayoweza kukuambia mkuu.
Be blessed.
Ahsante mtaaalamUtajiri bila ya nguvu za giza inawezekana. Kuwa makini ndugu utajikuta umeingia kwenye mambo magumu ambayo yatakupotezea familia na ndugu na kukurudisha nyuma 100%.
Shetani anavishawishi ukajikuta unaangukia kwenye utajiri wa damu
Ahsante sana magicianaPole sana mkuu
Mwezi wa kwanza nani anajenga chifu?Hardware ya vifaa vidogo vidogo
Usingeweka neno kulogwa kwenye mada yako ungepata ushauri mzuri na wakitaalam zaidi ila ushaharibu mada pambanaBiashara ina miaka 2½ lakini hakuna progess ya maana. Mwanzo nilianza vizuri ila ghafla mambo yaka kata.
Aisee nimerogwa au? nitaendeshaje familia? 😭😭😭
Nifanyeje wakuu, naombeni msiwe na masihara tafadhari, sijawahi fanyia mtu ubaya kwanini huu ugumu wote huu.
Sehemu niliopo imechangamka kibiashara, pia kuna maduka kama langu.
Kweli ukata wa namna hii, mwaka jana mwaka mzima nilipigwa na ukata mbaya nikaambulia madeni
Kinachoniumiza ni kuwa nilianza vizuri sana hadi kuongeza mzigo ghfla wateja wakakata😭😭😭😭😭😭
Ona hili jingaKwa jinsi ulivoandika inaonekana imani yako unaamini kuwa umelogwa.basi endelea na hayo mawazo.
Uafrika n laana,Mungu wabariki wazungu..
Hizo positive attitude na growth mindset unazipimaje! Au kwa kufeli na kufanikiwa?Ungekuwa haujafanya kazi kwako ningekubali
Lakini piah hapo nimeongea vitu vingi
1. POSITIVE ATTITUDE
2. GROWTH MINDSET
Unaweza ukawa unasali lakini negative mindset yako ikakufanya ukakwama au ukaisha kabisa ndio maana tukaitwa human BEings you have to BE positive na hatukuitwa human DOings you can't DO positive
Hizo positive attitude na growth mindset unazipimaje! Au kwa kufeli na kufanikiwa?
Mimi nadhani ifike pahara muwe mnamtetea huyo mungu bila kutengeneza assumptions. Au kama hamuwezi bora mkae kimya
Me nadhani pengine ukaogee maji ya mchele sometimes it's okay to be "DUMB HERO"Hizo positive attitude na growth mindset unazipimaje! Au kwa kufeli na kufanikiwa?
Mimi nadhani ifike pahara muwe mnamtetea huyo mungu bila kutengeneza assumptions. Au kama hamuwezi bora mkae kimya.
Je wewe ndo upo full time dukaniBiashara ina miaka 2½ lakini hakuna progess ya maana. Mwanzo nilianza vizuri ila ghafla mambo yaka kata.
Aisee nimerogwa au? nitaendeshaje familia? 😭😭😭
Nifanyeje wakuu, naombeni msiwe na masihara tafadhari, sijawahi fanyia mtu ubaya kwanini huu ugumu wote huu.
Sehemu niliopo imechangamka kibiashara, pia kuna maduka kama langu.
Kweli ukata wa namna hii, mwaka jana mwaka mzima nilipigwa na ukata mbaya nikaambulia madeni
Kinachoniumiza ni kuwa nilianza vizuri sana hadi kuongeza mzigo ghfla wateja wakakata😭😭😭😭😭😭
Siku nyingine ukipata mtaji, ongezea na bidhaa nyingine ili kuwavuta watu wa aina zote. Acha kuwekeza kwenye biashara ya aina moja tu.Hardware ya vifaa vidogo vidogo
Mambo mengi duniani yapo ulimwengu wa roho kila ukionacho chanzo chake kipo ulimwengu wa roho ukifungwa ulimwengu wa roho matokeo utayaona ulimwengu wa mwili iwe ni biashara au kazi au ndoa au familia sasa nakushauri tafutw ibada tafuta ibada fanya maombi fanyiwa maombi usilale kbs aisee wategemeao waganga hawalaliBiashara ina miaka 2½ lakini hakuna progess ya maana. Mwanzo nilianza vizuri ila ghafla mambo yaka kata.
Aisee nimerogwa au? nitaendeshaje familia? 😭😭😭
Nifanyeje wakuu, naombeni msiwe na masihara tafadhari, sijawahi fanyia mtu ubaya kwanini huu ugumu wote huu.
Sehemu niliopo imechangamka kibiashara, pia kuna maduka kama langu.
Kweli ukata wa namna hii, mwaka jana mwaka mzima nilipigwa na ukata mbaya nikaambulia madeni
Kinachoniumiza ni kuwa nilianza vizuri sana hadi kuongeza mzigo ghfla wateja wakakata😭😭😭😭😭😭
Kila changamoto ina solution yake, inaweza ikawa umerogwa au umebarikiwa unatakiwa uende step nyngine au ujifunze kitu kwa wenzakoBiashara ina miaka 2½ lakini hakuna progess ya maana. Mwanzo nilianza vizuri ila ghafla mambo yaka kata.