Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
😂😂😂😂#hahahaha waganga watanga jau sana kaka_huko utaambiwa njoo namkeo mfanye dawa kwapamoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂#hahahaha waganga watanga jau sana kaka_huko utaambiwa njoo namkeo mfanye dawa kwapamoja
Mfano kama wewe mtu unayeamini katika Mungu ( ulimwengu wa Nuru) basi hakikisha unasali sana, unatoa sadaka (pamoja na fungu la kumi), unafanya matendo ya kiimani kama kumwaga chumvi n.k.Elezea zaidi ndugu
Au anauza jezi za yanga pale chuo kikuu cha dar es Salaam (Udsm) sehemu yenye wasomi ambayo manguo ya kisenge senge hayauziki...Unauza bidhaa Gani
Uko wapi
Hali ya bidhaa
Usije kuwa unauza supu ya pweza Musoma
😂🤣😂Kwani siku hizi Kuna wasomi mbumbumbu, hadi wapende jezi za SimbaAu anauza jezi za yanga pale chuo kikuu cha dar es Salaam (Udsm) sehemu yenye wasomi ambayo manguo ya kisenge senge hayauziki...
Safi, una akili.Haya maisha bhana! Biblia inasema Njia za Mungu hazichunguziki! Sielewi kabisa
Kuna watu nawajua walikua wanatoa fungu la 10, kanisani kwa sana, Maombi kabla na baada ya biashara lakini biashara zao zilifirisika mitaji ilikata na walikua na huduma nzuri kwenye biashara.
Mbona naona wanaofata kanuni za Kimungu ndio maskini? Mambo yao hayaendi?
Huu ushauri wako ninaukataa sababu nimeona haujafanya kazi kwa watu wengi.
Biashara bongo ni kuzifaidisha tu mamlaka za serikalina watumishi wake. Bora utafute kazi ya kuajiriwa unalipwa mshahara basiBiashara ina miaka 2½ lakini hakuna progess ya maana. Mwanzo nilianza vizuri ila ghafla mambo yaka kata.
Aisee nimeerogwwaa au? nitaendeshaje familia? ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Nifanyeje wakuu, naombeni msiwe na masihara tafadhari, sijawahi fanyia mtu ubaya kwa nini huu ugumu wote huuu.
Sehemu niliopo imechangamka kibiashara, pia kuna maduka kama langu,
Kweli ukata wa namna hii, mwaka jana mwaka mzima nilipigwa na ukataa mmbaya nikaambulia madeni,.
Kinachoniumiza ni kuwa nilianza vizuri sana hadi kuongeza mzigo ghfla wateja wakakataðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Tupe 1,2,3,Safi, una akili.
Mungu hayupo.
Wenye uzoefu wa biashara za hardware kama ya huyu jamaa ndo wataweza kumsaidia hapa, na sio wafia dini.
Naamini Mungu yupo! Ila naona dini ni kwaajili ya kwenda Mbinguni na sio kutupa utajiri wa dunia hii.Safi, una akili.
Mungu hayupo.
Wenye uzoefu wa biashara za hardware kama ya huyu jamaa ndo wataweza kumsaidia hapa, na sio wafia dini.
Nipe code ya kuuza chapHaya maisha bhana! Biblia inasema Njia za Mungu hazichunguziki! Sielewi kabisa
Kuna watu nawajua walikua wanatoa fungu la 10, kanisani kwa sana, Maombi kabla na baada ya biashara lakini biashara zao zilifirisika mitaji ilikata na walikua na huduma nzuri kwenye biashara.
Mbona naona wanaofata kanuni za Kimungu ndio maskini? Mambo yao hayaendi?
Huu ushauri wako ninaukataa sababu nimeona haujafanya kazi kwa watu wengi.
Sio kila mtu ana ajirika mkuuBiashara bongo ni kuzifaidisha tu mamlaka za serikalina watumishi wake. Bora utafute kazi ya kuajiriwa unalipwa mshahara basi
Bado toa hiyo passwordNaamini Mungu yupo! Ila naona dini ni kwaajili ya kwenda Mbinguni na sio kutupa utajiri wa dunia hii.
BAHATI.Nipe code ya kuuza chap
Ungekuwa haujafanya kazi kwako ningekubaliHaya maisha bhana! Biblia inasema Njia za Mungu hazichunguziki! Sielewi kabisa
Kuna watu nawajua walikua wanatoa fungu la 10, kanisani kwa sana, Maombi kabla na baada ya biashara lakini biashara zao zilifirisika mitaji ilikata na walikua na huduma nzuri kwenye biashara.
Mbona naona wanaofata kanuni za Kimungu ndio maskini? Mambo yao hayaendi?
Huu ushauri wako ninaukataa sababu nimeona haujafanya kazi kwa watu wengi.
Unauza mini kabla hatujatoa ushauriMaumivu boss, hiyo Hali usiombe ikukute