Tangu Bashe atemwe uwaziri ni kama kachanganyikiwa fulani hivi

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,966
Reaction score
26,220
Huyu jamaa tangu apigwe chini uwaziri naona kama dishi limeyumba flani hivi.
Ukicheck Instagram page yake anaandika ujinga..eti juzi kati kaandaa mazishi ya ng'ombe wake aliyekufa na akaalika waombolezaji.
Naona kichwa chake hakijakaa sawa mpaka sasa.
 
hicho mimi hakijanistaajabisha ila nitastaajabu ikiwa kwenye huo msiba walichinja ng'ombe mwengine kama chakula kwaajili ya waalikwa...
 
Paka wangu akifa ntakuita msibani mkuu uje kula pilau, nyinyi mtakua hamkualikwa mazishi ni hisia labda huyo ng'ombe kuna jambo alimfanyia ndio maana akampa maziko ya heshima
 
Screenshot_20260308-070926_Instagram Lite.jpg
Mwingine huyu huku ameamua kupigana ngumi
 
Huyu jamaa tangu apigwe chini uwaziri naona kama dishi limeyumba flani hivi.
Ukicheck Instagram page yake anaandika ujinga..eti juzi kati kaandaa mazishi ya ng'ombe wake aliyekufa na akaalika waombolezaji.
Naona kichwa chake hakijakaa sawa mpaka sasa.
Mpumbavu sana yule msomali. Imagine alijuwa ng'ombe amezeeka na yuko siku zake za mwisho. Akamuacha akafa kisha akaweka msiba, akaandaa mazishi na kamzika kama binadamu.

Mtu mwenye akili nzuri angemchinja kabla hajafa na kuwapa makundi ya wananchi wahitaji.

Bashe anaumwa sonona
 
Huyu jamaa tangu apigwe chini uwaziri naona kama dishi limeyumba flani hivi.
Ukicheck Instagram page yake anaandika ujinga..eti juzi kati kaandaa mazishi ya ng'ombe wake aliyekufa na akaalika waombolezaji.
Naona kichwa chake hakijakaa sawa mpaka sasa.
Kuna kitu Polepole hakufafanua vizuri (kwa maoni yangu). Alisema tu kuna ule mtandao uliojumuisha Lowassa na Kikwete, lakini sikumsikia akisema ule mtandao nao ulivurugana, ikawa mitandao miwili, ie. Kikwete vs Lowassa. Knachotokea sasa hivi mimi naona ni mvutano wa ile mitandao. Upande mmoja una waliokuwa wafuasi wa Lowassa kama Nchimbi, Mwambe, Bashe na waandishi kama Pascal Mayalla na upande mwingine una Kikwete, Samia na opportunists kama kina Mwingulu, Makonda, Kabudietc. Au pengine inaweza kuwa tunachezewa mchezo, ionekane wana ugomvi? Haya ni maoni yangu tu na naomba zile ''mamlaka chawa'' zisiniite kuthibitisha kama walivyofanya kwa Mayalla.
 
Back
Top Bottom