Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
wasomali akili zao wanazijua wao wenyewe, achana nayeHuyu jamaa tangu apigwe chini uwaziri naona kama dishi limeyumba flani hivi.
Ukicheck Instagram page yake anaandika ujinga..eti juzi kati kaandaa mazishi ya ng'ombe wake aliyekufa na akaalika waombolezaji.
Naona kichwa chake hakijakaa sawa mpaka sasa.