hicho mimi hakijanistaajabisha ila nitastaajabu ikiwa kwenye huo msiba walichinja ng'ombe mwengine kama chakula kwaajili ya waalikwa...Huyu jamaa tangu apigwe chini uwaziri naona kama dishi limeyumba flani hivi.
Ukicheck Instagram page yake anaandika ujinga..eti juzi kati kaandaa mazishi ya ng'ombe wake aliyekufa na akaalika waombolezaji.
Naona kichwa chake hakijakaa sawa mpaka sasa.
kwanini anafanya hivi alishawahi kutoa sababu..Kuzika ng'ombe sio mara a kwana amesha wahi fanya hivyo na ng'ombe mwingine kamausha ili awe makumbusho
Paka wangu akifa ntakuita msibani mkuu uje kula pilau, nyinyi mtakua hamkualikwa mazishi ni hisia labda huyo ng'ombe kuna jambo alimfanyia ndio maana akampa maziko ya heshimahicho mimi hakijanistaajabisha ila nitastaajabu ikiwa kwenye huo msiba walichinja ng'ombe mwengine kama chakula kwaajili ya waalikwa...
Anatengeneza makumbushokwanini anafanya hivi alishawahi kutoa sababu..
haha.. nitakuja mkuuPaka wangu akifa ntakuita msibani mkuu uje kula pilau, nyinyi mtakua hamkualikwa mazishi ni hisia labda huyo ng'ombe kuna jambo alimfanyia ndio maana akampa maziko ya heshima
mhAnatengeneza makumbusho
Mazoezi ni afyaView attachment 3554647Mwingine huyu huku ameamua kupigana ngumi
Umemsahau NapeHussein Bashe
Innocent Bashungwa
Aĺly Happy
Hao watu wakiwekwa nje ya ulingo wanakuaga na vituko sana.
Mpumbavu sana yule msomali. Imagine alijuwa ng'ombe amezeeka na yuko siku zake za mwisho. Akamuacha akafa kisha akaweka msiba, akaandaa mazishi na kamzika kama binadamu.Huyu jamaa tangu apigwe chini uwaziri naona kama dishi limeyumba flani hivi.
Ukicheck Instagram page yake anaandika ujinga..eti juzi kati kaandaa mazishi ya ng'ombe wake aliyekufa na akaalika waombolezaji.
Naona kichwa chake hakijakaa sawa mpaka sasa.
Kuna kitu Polepole hakufafanua vizuri (kwa maoni yangu). Alisema tu kuna ule mtandao uliojumuisha Lowassa na Kikwete, lakini sikumsikia akisema ule mtandao nao ulivurugana, ikawa mitandao miwili, ie. Kikwete vs Lowassa. Knachotokea sasa hivi mimi naona ni mvutano wa ile mitandao. Upande mmoja una waliokuwa wafuasi wa Lowassa kama Nchimbi, Mwambe, Bashe na waandishi kama Pascal Mayalla na upande mwingine una Kikwete, Samia na opportunists kama kina Mwingulu, Makonda, Kabudietc. Au pengine inaweza kuwa tunachezewa mchezo, ionekane wana ugomvi? Haya ni maoni yangu tu na naomba zile ''mamlaka chawa'' zisiniite kuthibitisha kama walivyofanya kwa Mayalla.Huyu jamaa tangu apigwe chini uwaziri naona kama dishi limeyumba flani hivi.
Ukicheck Instagram page yake anaandika ujinga..eti juzi kati kaandaa mazishi ya ng'ombe wake aliyekufa na akaalika waombolezaji.
Naona kichwa chake hakijakaa sawa mpaka sasa.