Tangu Bashe atemwe uwaziri ni kama kachanganyikiwa fulani hivi

wasomali akili zao wanazijua wao wenyewe, achana naye
 
Kuna roho zinamuandama na kumtia kiwewe
 
Hii post yako ilivyo na alichofanya Bashe it's obvious dishi lako si tu kwamba limeyumba bali limeng'oka kabisa na wahuni wamepita nalo kwenda kukaangia chips.
 
Na yule mwanasiasa aliezika mbwa wake nae dishi liliyumba?

Mimi Najua ni kawaida sana kuzika wanyama ingawa yeye kaongeza mbwembwe na kujengea kabisa

Ila Ulaya kuna makaburi ya mbwa na paka na unalipia hela ndefu kuzika
Wanaweka na mashada ya maua na kuomboleza kabisa
Yaani mbwa umeishi nae miaka 10 halafu kafa hulii
Basi watu hulia sana
 
Bona atakimbia pia
 
Amechanganyikiwa wakati ana ngombe wa maziwa elf 5
Uliyechanganyikiwa ni wewe kutoweza kuona reality on the ground!
 
Kuzika ng'ombe sio mara a kwana amesha wahi fanya hivyo na ng'ombe mwingine kamkausha ili awe makumbusho
Nipe location ya Makumbusho Mkuu ni kamuangalie aliyebanikwa naweza kubahatika kukata japo pande nijilie Nyama ya Ng'homele Kwa Kisukuma,Yaani iliyobanikwa.
 
Naunga mkono hoja anahangaika na media kutuonesha kaza zake,Kwa nini hakutoka kwenye siasa abakie kwenye ng'ombe?
 
Build A Better Tommorrow
Ndiyo Inamtafuna
pita Pale Dodoma Kuna Pori Tu
Nchi Nyingine Angekuwa Ameyimwa Pumzi
Fafanua vizuri, hili jambo la BBT linatetesi kwamba ndio source kubwa. Kwan ilitumika kias gani ya Peswa?
 
Jenister ndo akaamua Ajifie zake, heka heka za Dunia nje ya Uwaziri sio shida zake.
Lol πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

duh bado unaye tu, alikukosea nini huyo mwendazake? ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…