Tangu Bashe atemwe uwaziri ni kama kachanganyikiwa fulani hivi

hicho mimi hakijanistaajabisha ila nitastaajabu ikiwa kwenye huo msiba walichinja ng'ombe mwengine kama chakula kwaajili ya waalikwa...
Ukoo wa akina bashe wana uendawazimu wa kuzaliwa,na amemrithi wehu marehemu mama yake ambae alikuwa kichaa.Bashe ni mwehuntoka kuzaliwa hivyo hajachanganyikiwa kwa kukosa uwaziri
 
Bongo ukiwa kiongozi usijifanye mzalendo!! We piga maadili kwenda mbele! Tofauti na hapo imekula kwako ! Kwanza wananchi wenyewe hayana shukran hata chembe, Mimi nikiwa mkuu wa wilaya MIEZI sita tu nna nyumba Kila mkoa shenztaipu
 
Bongo ukiwa kiongozi usijifanye mzalendo!! We piga maadili kwenda mbele! Tofauti na hapo imekula kwako ! Kwanza wananchi wenyewe hayana shukran hata chembe, Mimi nikiwa mkuu wa wilaya MIEZI sita tu nna nyumba Kila mkoa shenztaipu
 
Exactly! Wakati wa utoto mbwa wetu tulimuwekea hadi maua juu ya kaburi lake,na tulilia alipogongwa na gari akafa..aligongwa na gari na jamaa mmoja morogoro alikuwa na Hotel inaitwa NYANDIRA (M/mungu amrehemu) basi yule jamaa nae akaja kupata ajali mbaya ya Bus la abood lililochinjwa na greda ambalo lilibebwa kwenye Low bed.. .. ilikuwa ajali mbaya miaka ile....yule mshkaji alivyo mwema alisema tafuteni mbwa mwingine chakula muwe mnakuja kuchukua hotelini kwangu.. ilikuwa mwaka 1992 nadhani..
 
Mbona Wazungu wanafanya mazishi ya mbwa zao waliowapenda na hamuoni ajabu
 
Kwahiyo ile mikakati yake na mipango inaendelezwa au alivyopigwa chini na kila kitu kikaishia hapo?
 
Kwahiyo ile mikakati yake na mipango inaendelezwa au alivyopigwa chini na kila kitu kikaishia hapo?

juzi kati somali wameondolewa vikwazo vyote vya kuingia tanzagiza bila ya tatizo lolote ni visa free kwa somali ktk watu wote wanaohitaji visa free kuingia tanzagiza somali ndiyo walioqualify, unafikiri ni kwa nini? kuna nini tunapata somalia ambapo hata nchi yenyewe ni kama hakuna? bado tu unaamini ''amepigwa chini''? ...
 
Pole sana
Watu ambao hawajawahi kuwa na mifugo au hata paka au mbwa hawawezi kukuelewa kabisa.

Inauma sana kama mmezoeana kwa miaka
 
Alitaka kuisilimisha serikali kwa kutoa matamko akitoka msikitini.
Hili lilimuweka katika bahasha fulani, ingawaje ni uhuru wake kuvaa vile anavyopenda.



 
Hakutarajia kupigwa chini, kampeni za mwisho mwisho za mama yao pale Sumbawanga, alihaidi kurudisha shamba kwa wakulima kwa kufoka na kuvimba, mwezi mmoja badae anapigwa chini.

Siasa sio ya kuvimba nayo sana, ukiwa na cheo.
 
Alitumia Mabilioni kupanga safu ya Wagombea Ubunge Nchi nzima. Sasa kachanganyikiwa atazirudishaje kwani alijua tenda za miradi ya umwagiliaji na contract farming za pamba na tumbaku zingemlipa. juzi kapost anaota jua na njiwa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Naona jamaa kamisi misiba ngoja misiba ya ukweli imfikie ndio atajua madhara ya hayo masihara yake
 
Kachanganyikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…