Tangu Deception aanze kampeni yake kuhusu UKIMWI, kuna yeyote humu ndani ambaye amemuamini?

Tangu Deception aanze kampeni yake kuhusu UKIMWI, kuna yeyote humu ndani ambaye amemuamini?

Nahisi kama From Sir With Love na Deception ni mtu mmoja...!!!

Samahani lakini...Tuendelee na mjadala..!
 
Mkuu mbona deception alishakufa kitambo alikua ameadhirika na ngoma ni mwaka unaisha sasa
 
Huo uzi wake sijauona,ukimwi upo mkuu,wenye ukimwi tupo wengi tu mtaani,Arv kwa kiasi fulani zimesaidia mkuu
 
Kwasababu Demu Anatumia ARVs
Sio sababu mkuu, ukijikubali tu na kuwa na amani moyoni tu,ni kinga tayari Arv ni kama booster inayochangia usipate magonjwa nyemelezi mara kwa mara,nilizaliwa na Ukimwi na Arv nimeanza kutumia 2016 mkuu,cha msingi ni kujikubali tu
 
Deception naomba utufafanulie ni nini kinatokea pale ambapo mamia ya watu wanapopima awali hata kwa zaidi ya mara tatu hadi nne na kuonekana hawana HIV ila wanapoendelea na maisha ya kufanaya ngono zembe wengi hujikuta wameukwaa ugonjwa huo hata kama maisha mengine kimazingira yamebaki vilevile nikiwa na maana lishe bora inazingatiwa, usafi kwa ujumla isipokuwa tuu suala la kufanya mapenzi na partners zaidi ya mmoja. Kwa point hii huoni kwamba HIV is real?
 
Back
Top Bottom