Tangu Deception aanze kampeni yake kuhusu UKIMWI, kuna yeyote humu ndani ambaye amemuamini?

Tangu Deception aanze kampeni yake kuhusu UKIMWI, kuna yeyote humu ndani ambaye amemuamini?

Na mimi kuna siku nitaandika uzi humu tukijaliwa na subiri nitulie pirika tu nyingi.
 
Acheni kupotosha mkuu Deception yupo hai na hivi majuzi nilimcheki WhatsApp kumpa hai, binafsi nilimuelewa sana na namshukuru Mungu kwa ajili yake kwani alinifumbua macho
Kama anagroup la whatsApp naomba unitumie namba yake pm mkuu
 
Mkuu Deception unapotosha umma.

Anza kwenda mtaani wewe. Anza na wizara ya Afya, kawaambie HIV virus ni fake. Waambie serikali inapoteza hela inapochangia kununua ARV.

Baada ya hapo nenda pale Muhimbili. Omba upewe rekodi za watoto wadogo waliozaliwa na akina mama wenye maambukizi ya HIV. Halafu wajibu hao madaktari kwanini watoto wengine wanazaliwa positive na wengine negative.

Halafu nenda kwenye clinic ya CTC chukua meza isimamie, chukua loud speaker waambie HIV virus ni fake.

Wewe ungekuwa ni mtaalam ungeachana na you tube, ujitike kwenye uchunguzi halafu uibuke na abstract.

So Naive.

Hivi we jamaa bado upo?mbonà ulikuwa mgumu sana kuelewa?mi Leo ndo nauona huu mjadala lakin DECEPTION nmemnyoshea mikono,na Nina amini for what he is saying!!

naona opponents wake hamna facts bali mliishia kutokwa na povu!

Deception,popote ulipo ingawa sijasoma udaktar ila nmekukubali sana!

Kuna siku moja nilimuuliza Dokta mmoja pale rufaa Mbeya kuhusu UKIMWI,Nilitumia baadhi ya nondo zako,yule daktar aliniona MTU mwenye fikra nzito kwelikweli na mpaka Leo yule daktar ni rafk yangu!
 
Jamaa kilichomuua ni hofu na kutokukubali hali halisi,nilizaliwa na Ukimwi lakini ukiniona hata kunihisi huwezi
We jamaa bado huelewi Kitu, hakuna binaadamu asie na ukimwi .

Nakushangaa kujiona wewe ni sehemu ya hoja wakati ukimwi kila MTU anao???? Otherwise hujaelewa na hauna uelewa mpana kuhusu issues hizi
 
Hivi we jamaa bado upo?mbonà ulikuwa mgumu sana kuelewa?mi Leo ndo nauona huu mjadala lakin DECEPTION nmemnyoshea mikono,na Nina amini for what he is saying!!

naona opponents wake hamna facts bali mliishia kutokwa na povu!

Deception,popote ulipo ingawa sijasoma udaktar ila nmekukubali sana!

Kuna siku moja nilimuuliza Dokta mmoja pale rufaa Mbeya kuhusu UKIMWI,Nilitumia baadhi ya nondo zako,yule daktar aliniona MTU mwenye fikra nzito kwelikweli na mpaka Leo yule daktar ni rafk yangu!
Makuku Rey, niliona mjadala hauendi popote.

Deception anasema hakuna HIV, lakini mimi na mtu mwingine tukipima, mmoja wetu anakuwa positive. Hata apime mara ngapi, bado anakuwa positive.

Yeye Deception anakuambia hakuna kitu kama hicho.

Nikaona nabishana na mtu ambaye ameshaamua na hawezi kubadilika.
 
Wewe jamaa ni kilaz.a sana na ninasikitika kama nchi tuna wataalam wa afya wenye fikra mfu kama zako, Tangu nimefuatilia mjadala huu sijaona hoja ya maana kutoka kwenu madaktari.

Hoja zenu ni Kutia watu hofu, vitisho na huruma na sio tafiti na research za kitabibu kama afanyavyo deception and the likes....

Page 10 zilizopita kabla ya hii deception alikuuliza maswali Mengi sana ulikimbia mbio ndefu sana..

Napata shaka na elimu ya madaktari Wetu ,sina imani nao kabisa. Kuna mmoja Jana nilimuuliza anaweza kunithibishia by evidence kuwa amewahi kumuona HIV??? Majibu aliyonipa ni aibu .

Msikilize Karry Mullis Mgunduzi wa Kifaa cha PCR ambacho unakitumia ila naamini hujui huyu Mzee ndio inventor akizingumzia myth za HIV

Madaktari wa Tanzania mnatutia aibu someni Basi mbona vitu vipo mtandaoni
 
Back
Top Bottom