Tangu Deception aanze kampeni yake kuhusu UKIMWI, kuna yeyote humu ndani ambaye amemuamini?

Tangu Deception aanze kampeni yake kuhusu UKIMWI, kuna yeyote humu ndani ambaye amemuamini?

Haijalishi uko wapi, unamfahamu kuwa Urusi mmambukizi ya HIV yanaongezeka kwa kasi kubwa
Sky Eclat, Mwanzoni mdau hapo juu amesema HIV ni fix, akaja tena akasema aeleweshwe HIV ni nini kwa kiswahili, akaja tena akasema Jangwa la Sahara ndiyo waathirika wengi. Hapo nimeshindwa kumwelewa.
 
Wanapima HIV positive au negative.
Tafadhalini nielewesheni hizo positive na negative ni nini .
Nifahamisheni kiundani ili nielewe.Tena kwa Kiswahili hata mie nilieishia la saba nielewe kiurahisi.
 
Sky Eclat, Mwanzoni mdau hapo juu amesema HIV ni fix, akaja tena akasema aeleweshwe HIV ni nini kwa kiswahili, akaja tena akasema Jangwa la Sahara ndiyo waathirika wengi. Hapo nimeshindwa kumwelewa.

Takwimu zenu nyie wakala wao na Wakubwa zenu huko dunia ya kwanza.
Swali nini huwa positve au negative katika vipimo vyenu.
Nielezeni kwa kiswahili mbona mnazunguka tu?
 
Takwimu zenu nyie wakala wao na Wakubwa zenu huko dunia ya kwanza.
Swali nini huwa positve au negative katika vipimo vyenu.
Nielezeni kwa kiswahili mbona mnazunguka tu?

Ujibiwe mara ngapi mkuu? sisi tunakuambia positive ana virusi na negative hana. Wewe unasemaje?
 
Waungwana yeyote anaye elewa nini huwa kichosemwa ni Negative au positive katika vipimo vya HIV.
Naomba anielezee kwa Kiswahili ili mimi na ndugu zangu hapa Kijijini petu tupate kuelewa.
 
Wewe una matatizo,tena matatizo makubwa sana,wapi nimesema hakuna ukimwi?Hebu tafuta post hata moja niliyosema kwamba hakuna ukimwi halafu ubandike hapa ili wanaokusoma wakuelewe unachomaanisha.

Sasa kama haya mambo madogo sana unashindwa kuyaelewa,itakuwa yale makubwa ya kufikirisha?Eti deception anasema hakuna ukimwi...sasa waoneshe watu wapi nimesema hivyo.Usipoweza kuwaonesha watu wapi nimesema hivyo jihukumu mwenyewe wewe ni mtu wa aina gani.

Halafu kama ikitokea watu wote humu hawaamini ndio itakuwaje sasa kwa unavyofikiri wewe?Kwa hiyo kwa mfano watu dunia nzima wakisema hatuamini kama kuna jua,basi ndio kweli hakuna jua,au vipi?

Miaka ya 1600 Galileo alisema dunia inazunguka jua,lakini watu wote kipindi kile hawakumwamini...kwahiyo ni kweli dunia haizunguki jua kwakua wengi hawakumwamini?

Huoni kwamba kuelewa ni suala la uwezo wa mtu binafsi?Ndio maana darasani kuna wa kwanza na wa mwisho.

NB:
Hata kama wote humu watasema hawaniamini,ndio inakuaje sasa?Kama wote humu ni wajinga na wavivu wa kufikiri sasa mimi nitawasaidiaje?Ninachokiweza ni kutoa elimu kwenu,kama hamtaki kuelewa au hamwelewi sina uwezo wa kuwalazimisha kwakua kila mtu ana uhuru wake...kwani ni lazima kuwaokoa watu wote?Lazima wapo watakaopotea,sasa hilo si kosa langu.

Hapa hatuangalii IMANI,hii ni sayansi bwana...kama huelewi hilo tatizo lako binafsi....mtu unashindwa kutofautisha hata HIV na ukimwi mambo ambayo ni very basic..kwenye ukimwi unasema HIV kwenye HIV unasema ukimwi....sasa wewe unafikiri nitakusaidiaje...hicho ni kilema kikubwa sana.
Deception nakuelewa saanaaa.thanx kwa kutufungua macho.nawaona watu wanavyokurupuka eti deception kasema hakuna ukimwi wakati ni yeye ndio aliyesema bara la Africa hasa chini ya jangwa la sahara ndio tunaongoza kwa ukimwi duniani kutokana na umasikini wetu,lishe mbovu,huduma mbovu za tiba nk.
 
Deception nakuelewa saanaaa.thanx kwa kutufungua macho.nawaona watu wanavyokurupuka eti deception kasema hakuna ukimwi wakati ni yeye ndio aliyesema bara la Africa hasa chini ya jangwa la sahara ndio tunaongoza kwa ukimwi duniani kutokana na umasikini wetu,lishe mbovu,huduma mbovu za tiba nk.

Wewe una Ukimwi?
 
Hakuna kitu kinachoitwa HIV duniani na kila mtu anaweza kupata AIDS cha msingi ni kutibu magonjwa husika na kuimalisha kinga ya Mwili mara kwa mara.
Safi sana .nimekuelewa
Hawa wakina cjui mkuyati na sweelove wanongea kama wamekariri
 
je kama hakuna HIV nini kinasababisha AIDS?
Kuporomoka kwa kinga ya mwili kunasababishwa na vitu vingi ikiwemo lishe mbovu ,magonjwa kama sugu kama TB,magonjwa ya zinaa kama kaswende ,gono,umasikini,nk
 
Namuelewa mkuu deception sana licha ya kuona
Kwa wengine binafsi nilishawahi kusex na mwanamke anae zaniwa kuwa ni muathirika baada ya mpezi wake wa kwanza kuonekana akitumia ARVs watu wa kwenye huo mtaa wakawa wanamuogopa huyo demu sasa mimi nilikua mgeni pale nikajisevia baada ya kukaa mda pale mtaani nikaja kugundua nikaenda kupima mara tatu sehemu tofauti nikawa sina na visa vya kusimuliwa vilivyo na utata kwenye huu ugonjwa so ni vyema ukaanza kwanza kuchunguza kabla ya kubisha
 
Huwezi jua kuna HIV kama umezaliwa peke yako kwenye ukoo.

Na huwezi jua kuna HIV kama hufanyi kwenye settings za huduma za afya.

Huwezi jua kuna HIV kama ulishapigwa sana papuchi ukaenda kupima halafu ukaambiwa upo negative.

Kwanza wanaosema hakuna HIV ndiyo huwa wanaenda kupima. Sasa unaenda kupima nini kama HIV haipo?

Halafu wanakuja kujitapa hapa hakuna HIV, kumbe mkono wa Mungu ndiyo umewaokoa.

Jaribu siku moja kuwaza. Wewe ni mhudumu wa afya. Halafu wanakuja mawaziri kuchukua dawa. Na baada ya kuzoeana unakuwa unawapelekea walipo.

Hao mawaziri wasomi kwa mtizamo wako hawana akili. Wewe unayekula kwa mama unalalwa na house boy, na una boyfriends wa vocha kila mtaa umeenda kupima ukaambiwa hauna maabukizi halafu unasema HIV haipo.

Fjddjdjfurrhrvdhfjdjdhd
Kumbe unahubiri imani nilidhani unaongea fact
 
Mleta mada kaiandika juu juu na wachangiaji wengi naamini hawakusoma mada yako ya awali.

Nimenukuu tu kipande cha jibu lako kwake mleta mada ili kusisitiza ukweli kwamba kuna tofauti kati ya UKIMWI na HIV.

UKIMWI siyo ugonjwa kama jina lilivyo - UPUNGUFU WA KINGA MWILINI

HIV pia si ugonjwa bali ni kirusi kinachosabibisha kufisha nguvu za kinga mwilini.

Lakini hadi sasa hajathibitishwa kisayansi kwamba kuna kirusi hicho (HIV) mbali na kwamba kinaleta ugonjwa wa UKIMWI.
Mwanzo umeanza ukimwi sio ugonjwa mwisho umemaliza ugonjwa wa ukimwi
 
Sasa ndiyo naelewa shida yako iko wapi. Wewe ni mwanafunzi uliyesoma halafu ukaona unajua zaidi ya wale waliokufundisha bila udadisi wowote. Unamiss point kidogo sana mkuu.

DECEPTION- HIV ipo ila wewe unasema haipo kwa sababu HIV virus haina syndrome. Madaktari wako wa miaka ya themanini wanasema HIV ni fake. Ni kwa sababu haina Syndrome. Japo AIDS ni syndrome. Technolojia yao wakati huo ilikuwa nyuma sana. Wakati huo hata simu za mkononi sehemu nyingi duniani zilikuwa hazipo achilia mbali technolojia ya medical nzuri. HIV kutokuwa na syndrome haimaanishi HIV haipo.

Naomba nirudie. HIV ipo ila haina syndrome. Maana yake ni nini. Virusi vya HIV kazi yake kubwa ni kuvamia kinga ya mwili. Naomba nirudie. Mwisho wa siku HIV virus inavamia kinga ya mwili na kuzaliana na kuufanya mwili ukose kinga ya kupambana na magonjwa.

Tatizo lako lipo hapa kijana - Ni uelewa tu.

AIDS in ugonjwa unaosababishwa na kutokua na kinga kwenye mwili wako. Au amua kusema AIDS ni upungufu wa kinga mwilini. Chagua unachotaka lakini mantiki ni yale yale. Kwa sababu unakubali AIDS ni real, hilo sina shida nalo.

Kwa sababu HIV inavamia kinga ya mwili na kukufanya uwe vulnerable, basi mwisho wa siku utapata ugonjwa. Hiyo ndiyo stage wanayosema una AIDS.

Kwanini waseme mtu ana AIDS? Kuna stages na symptoms zake.

Ukiwa na AIDS unaweza ukapata mafua na ukafa kwa sababu huna askari wa kukulinda. Au unaweza ukapata Diarrhea na ukafa kwa sababu ya mashambulizi na kukosa maji.

Katika haya yote huwezi kuexclude HIV virus. Yeye ndiye kafanya kinga ya mwili ipungue na hatimaye huyu mtu amepata maambukizi.

Kwa maana hiyo huwezi kusema HIV haipo na haisabishi AIDS. Huwezi ukatenga HIV na AIDS. Mwanzoni huyu jamaa alivyopata mafua au Diarrhea hakufa kwa sababu kinga ilikuwa ipo. Lakini baada ya kinga kuondoka haya magonjwa yakamchukua huyu mtu.

Huwezi ukasema mtu alikuwa HIV positive na apata AIDS ukasema HIV sio chanzo na haipo.

Nimemaliza.



Chanzo cha kinga kupungua ni HIV pekeyake? Au kuna sababu nyingine zinaweza kupelekea upungufu wa kinga ya MTU(ukimwi)
 
Back
Top Bottom