jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,329
Mkuu nilikujibu kuwa ktk vipimo vyote vya HIV hua hawamwoni kirusi kama vile wanavyopima wadudu wa malaria. Hua wanaona antibodues wale askari sanaotoka kupambana na uvamizi wa ugonjwa toka nje. Mara uvamizi wa virus/bacteria unapotokea ndipo antibodies hutoka kushambulia hao wavamizi.
Sasa wanapipima hiv ati wakiona wale antibodies wanaconclude kuwa walitoka bse kirusi HIV aliingia ila kirusi mwenyewe hawamwoni au niseme hawampimi
Mkuu vipimo vinavyopima anti-bodies sio hivyo tu,
Almost karibu kila kipimo kinachopima damu kinachohusisha Micro-organism kinaweza kupimwa kwa anti-bodies tunaweza kupima parasites(malaria ,filariasis kwa antibodies,tunaweza kupima kaswende kwa antibodies tunaweza kupima magonjwa mengi mengi mengi sana kwa mtindo wa antibody
Na kipimo cha antibody kinakuwa ni specific kwa asilimia kubwa na mdudu anayehusika
Mfano kama ni malaria basi vile vipimo vipo coated na material ya antibody ambayo yanazalishwa baada ya mwili kushambuliwa na mdudu
Sasa naomba tukae hapo hapo kwenye antibodies je kwanini baadhi wapimwe wakutwe nazo na wengine hapana je hii ni genotype kwa maana ya wengine ni genetic make up ya baadhi ya protein zili-undergo transcription au vipi?
Nadharia ya HIV/AIDS ngumu sana na mm huwa sikai upande wowote napenda kujadili haya mambo kwa upana