Sasa twende mdogomdogo...ukiona unazidiwa mwite kaka yako mkuyati akusaidie...
...
Cancer mpaka sasa researchers hawajui ni kitu gani kinachochea huu ugonjwa....
Hapa ulitakiwa kusema kwamba,western medicine researchers ndio hawajui...ukisema tu researchers utajumuisha na wale wa naturopath,ninyi wa western ndio hamjui,lakini wale wa naturopath wanajua...nataka ufahamu hivyo.
Na ndio maana ninyi hamuwezi kutibu cancer wakati wale wa naturopath wanatibu kabisa cancer na inapona.
Pia nataka ufahamu kwamba,kituo cha utafiti wa cancer kwa western medicine kilianzishwa mwaka 1890's...mpaka sasa ni zaidi ya karne moja na bado eti hakijui tiba ya cancer...do you think that is real?Unajua baadhi ya nyanja za kisayansi ambazo zimepiga hatua kubwa sana tangu miaka hiyo hadi sasa lakini hili suala la tiba ya cancer liko palepale?Ina maana mwanadamu ubongo wake uko limited kwenye cancer tu?Think about that.
..... Ningekuwa mimi ningepeleka research kutame ugonjwa ninaojua unaambukiza zaidi, na ndicho wanachofanya..
Sasa tuangalie takwimu za hapa chini halafu tuone kama ulichosema hapo juu kama wao au wewe mli/ulitumia akili au la....
Takwimu za WHO zinasema hivi;
Takriban watu 600,000 hufa kwa malaria kwa mwaka,watu milioni 1.5 hufa kwa TB kwa mwaka,watu milioni 1.5 hufa kwa hiyo mnayoiita HIV/AIDS kwa mwaka na watu milioni 6 hufa kwa cancer kwa mwaka.
Sasa vifo vinavyotokana na malaria,TB na huo uongo wa HIV/AIDS ukijumlisha kwa pamoja bado havifikii vile vya cancer kwa mwaka.Do you still have the same thought?Kwamba utaelekeza nguvu kwenye HIV/AIDS badala ya cancer kwasababu tu hiyo HIV/AIDS inaambukizwa?Does that make sense?
Ocean Road wanapokea wagonjwa wapya wa cancer takriban 400 kwa mwezi hivyo kufanya wagonjwa 5000 kwa mwaka,bado akili yako haijaona kitu hapo?Halafu mnasema kwamba ukitumia ARVs unaweza kuishi zaidi ya miaka 20,lakini pia mnajua kwamba cancer ni nadra sana kuishi zaidi ya miaka 5 hata kama utaanza tiba....kama hayo ndio mawazo yenu,kwanini basi hamuwekezi kwenye ugonjwa unaoua kwa wingi na kwa haraka zaidi na badala yake mnawekeza zaidi kwenye HIV/AIDS kwa zaidi ya miaka 30 sasa?Take a note.
...
Hebu nikuulize ndugu unafikiri tajiri mkubwa kama Steve Jobs angekubali kufa na cancer ya ini bila kuchangia research apone?
Are you real MD?Hivi kufa kuna makubaliaono?Kwamba unaamua tu hufi au unakufa kwa ugonjwa fulani kwa kuwa tu wewe ni maarufu au una pesa nyingi?Are you serious?Kwani wewe ulitaka Steve afe kwa sababu gani au ugonjwa gani ndio useme kwamba kafa kihalali?
Hivi kwani kuwa maarufu au kuwa na pesa nyingi ndio kunakufanya uwe unajua kila kitu?
Kwanza hujui hata historia ya cancer ya Steve na historia ya matibabu yake...wewe unajua labda kipande kidogo sana cha matibabu ya Steve,siwezi kupoteza muda kukufundisha na hili pia,tafuta mwenyewe....lakini dokezo tu.....cancer ya Steve ilianza kuwa harsh baada ya kuanza kufanya western treatment...lakini kabla ya hapo hakutumia tiba maalum zaidi ya kuwa vegetarian ambayo hiyo pekee ilimfanya adumu kwa miaka mingi sana hadi ndugu zake walipomlazimisha aanze western medicine ambayo ndio ilimfanya adhoofike haraka sana na mwishowe kufa..
Kifo cha Steve ni credit kwa western medicine theories kuhusu cancer....na ndio kweli jamaa wamefanikiwa kuwashawishi watu kama ninyi na ndio maana mnapenda sana kumtumia Steve kama icon kuhusu kutotibika kwa cancer.....funguka ndugu yangu..huu si ushabiki kama wa simba na yanga....hii ni sayansi...jifunze kujifunza mambo mapya,usiruhusu ubongo wako uwe kama pendulum.