je kama hakuna HIV nini kinasababisha AIDS?
Haya ndio maswali ambayo mnatakiwa muulize sasa.Jibu lake hapa pia ni somo kubwa sana,fuatilia post zangu mbalimbali kuna sehemu nyingi nimejibu hilo swali.
Kwa kuongezea tu,nataka nikwambie kwamba kuna dawa nyingi sana za hospitali zinasababisha AIDS...hivyo matumizi ya mara kwa mara ya madawa ya hospitali ni moja ya sababu za AIDS...baadhi ya dawa hizo ni ARVs(baba lao),vidonge vya uzazi wa mpango,antibiotics,chemotherapy nk..
Halafu kama hujui nikwambie kitu hapa....Kuna dawa ambazo zimetengenezwa maalumu ili zisababishe ukimwi ili kutibu maradhi ya vitiligo...unajua vitiligo?Waulize madaktari wako humu wakueleze inbox..he he heeee....
Sasa wale wanaougua vitiligo hupewa madawa ya kushusha kinga zao za mwili ili zisiwashambulie tishu zao kama vile ngozi nk...yaani dawa hizi zinawapa ukimwi wagonjwa wa vitiligo kwa makusudi maalum kabisa na si bahati mbaya...hata madaktari wanalijua hilo,waulize watakwambia...he hee hee...
Nadhani sasa unaanza kupata picha kwamba ukimwi sio ishu ya kuitolea sana macho kama utaielewa.Halafu huyo HIV anayesingiziwa ni kiini macho tu....mimi nakusaidia kufumbua hicho kiini macho kama utapenda.Madaktari wengi hasa hawa wa bongo hawajui kufumbua hilo fumbo pia...ndio maana nipo hapa kuwapa wote ninyi somo hili,madaktari popote mlipo kuweni wapole na mjifunze kutoka kwangu,ubishi usio na tija haufai.