Mkuu
From Sir With Love , you are very right kwa hicho unachokieleza, kwamba:
1. Dr. Robert Gallo aliiba data za
'mfaransa' fulani na
akasema amevumbua HIV. Hivyo, kumfanya R.Gallo awe wa kwanza kutangazwa na serikali ya Marekani kuwa ndiye mgunduzi wa HIV.
-Kaveli-
Mkuu wewe unaweza sana kuongoza mijadala....yaani hata kama unaona wazi mtu katema pumba huwa humkosoi....safi sana....ila nakukumbusha kwamba,mheshimiwa Dr wetu hakusema kwamba Galo amevumbua HIV,bali alisema amevumbua AIDS....nakukumbusha tu,hii itakusaidia kujua uwezo wa mshiriki wetu huyu kwenye mjadala huu.
....
4. Huyo Dr Robert Gallo, zamani miaka ya nyuma sana aliwahi pia kuleta 'usanii' kwenye ugunduzi wa 'CANCER'. Aliambulia criticism kubwa sana from the medical science community.
-Kaveli-
Mambo kama haya madaktari wetu huwa wanajifanya hawayaoni hata kama utayaweka hapa....ndio maana niliwahi kusema mwanzo kwamba,historia ya suala hili ni moja kati ya mambo 4 muhimu kuyajua ili ubaidi ukweli wa suala hili,suala hili wala sio tata bali wafundishwaji wenyewe ndio watata na ndio maana hawaelewi,kila siku wao wanalalamika tu kwamba eti suala hili ni zito,hakuna uzito wowote hapa.
Lazima ma MD na watu wote kwanza wajue kwamba Galo hajaanza usanii kwenye suala la HIV/AIDS,bali alianza zamani sana kabla ya hapo....na baada ya kupingwa vikali katika suala la cancer(ambapo lengo lake la kudanganya lilikuwa lilelile la kuuza dawa) alihamishia nguvu kwenye HIV/AIDS...
Sasa huku hakutaka kabisa kurudia kosa lilelile la kushirikisha wanasayansi wengine kabla ya kutangaza HIV mwaka 1984,maana alijua atapingwa tena na lengo lake halitotimia....ndio maana walitangaza harakaharaka bila ya kufuata procedure zinazotakiwa ili kuepusha pingamizi...na ndio maana HIV alitangazwa kama 'PROBABLE CAUSE' badala ya REAL cause ule mwaka 1984....tafute hiyo video ya kutangazwa kwa huyo HIV feki mjionee wenyewe...hapa vitu live bila chenga,wala huhitaji scientific paper kujua kwamba HIV alitangazwa kama 'probable cause'...he he heeee...
Sasa basi,ndio maana dawa za kwanza kabisa walizopewa watu waliosingiziwa kuwa na HIV huyo feki zilikuwa AZT ambazo ndio zilitumika kama chemotherapy kwa watu wenye cancer..unaona sasa hapo?Yaani lengo limetimia kwa upande mwingine wa shilingi....sasa kwanini watu wenye AIDS wapewe chemotherapy badala ya vitu vinavyokuza kinga zao?
Kama mtu hajaelewa kipande hiki kidogo basi kazi ipo.
....Baada ya kuicheki, please tupe maoni yako juu ya hicho alichokisema humo:
-Kaveli-
He he heee..ngoja nisubiri vichekesho kama akija kukujibu suala hilo.Watu wana macho lakini hawaoni,wana masikio lakini hawasikii...sijui watu wanataka evidence za aina gani ili waelewe suala hili.