Tangu Deception aanze kampeni yake kuhusu UKIMWI, kuna yeyote humu ndani ambaye amemuamini?

Hahahahaa mkuu, wacha maskhara yako Dr. Mkuyati. Hii inshu nzito kaka. Kujiunga 'gridi ya Taifa' ni mtihani mzito shekh. 😀

Hapo umemaanisha 'fadhili muuza maji' ? 🙂

-Kaveli-
Kaka we andika humu "fadhili kanjanja uliyefungiwa wakati wa sekeseke lililomjumuisha Dr year naomba jitokeze, nimechoka kujificha nyuma ya kivuli chako hewa" afu usubiri uone. You will be suprised bro
 
Kaka we andika humu "fadhili kanjanja uliyefungiwa wakati wa sekeseke lililomjumuisha Dr year naomba jitokeze, nimechoka kujificha nyuma ya kivuli chako hewa" afu usubiri uone. You will be suprised bro


hahahaa, mkuuu hapo nishakusoma (lakini just by guessing). 😀😀

-Kaveli-
 
Wewe huna tofauti na waliochoma researchers kule mvumi wakiamini wananyonya watu damu. Ni yale yale. Unaamini ulichoambiwa.

Umeaminishwa na aliyekuaminisha.

Akili unayo ila unamsikiliza mtu mwingine.

Toa chapisho lako. Nenda pale muhimbili. Omba waathirika wakupe transfusion halafu njoo hapa hadithia.

Tumia akili yako ya kuzaliwa sio za kuaminishwa.

Unasema sieleweki na sijui research. Wapi huelewi? Wapi ulisema huelewi nikakosa kujibu? Au ndiyo kulalamika uani?

Kama huelewi mkuu sio kosa langu ni kichwa chako.

Kama mumepandikizwa mbegu vichwani kuua watanzania kwa kuwaambia hakuna HIV/AIDS basi anzia nyumbani kwako.

Mbona familia yako wanazidi kupewa chanjo. Kwanini usilete video za wale wanaokataa chanjo? Kwa nini iwe HIV tu?

Acheni upuuzi wa kitoto.
 
Kaka usipanic. Inaonekana comment yangu hujaisoma vizuri. Najaribu kukusaidia, huyo uliyekuwa unavutana nae namfahamu vizuri, nakueleza tu umfahamu vizuri. Apology accepted, peace
 
Kaka usipanic. Inaonekana comment yangu hujaisoma vizuri. Najaribu kukusaidia, huyo uliyekuwa unavutana nae namfahamu vizuri, nakueleza tu umfahamu vizuri. Apology accepted, peace
Nisamehe mimi kaka.

A gentleman remains a gentleman.

Tafadhali nisamehe mimi mkuu. Tafadhali sana
 
Kaka usipanic. Inaonekana comment yangu hujaisoma vizuri. Najaribu kukusaidia, huyo uliyekuwa unavutana nae namfahamu vizuri, nakueleza tu umfahamu vizuri. Apology accepted, peace

ha ha haaaa...yaani hata ku quote mnachanganyana....yaani mtu haelewi anam quote nani...hii ni shida kubwa sana.
Ndio maana mnaandika nonsense bila kujijua,hebu mfuatilie huyo mwenzako kuna post nilim quote yaani ameandika mambo ya ajabu sana halafu anajifanya anajua...hii ni aibu kubwa kwenu.
 
Kama vile unavyochanganywa na you tube.
 
Haha, haya ndio mambo ambayo unaweza kuyajibu kwa ufasaha!! But when it comes to science and fact unabaki mweupe,, nakuelewa sana. Ndio maana utabaki kudanganya akili ndogo tu humu, ambao nao wameanza kuku-doubt!! Sijui tuite the magufuli effect ama?
 

Nipe dk chache narudi uone moto wake sasa,wewe si unataka science?Subiri kidogo narudi halafu tuone kama wewe unajua kweli.
 
Hakuna kitu kinachoitwa HIV duniani na kila mtu anaweza kupata AIDS cha msingi ni kutibu magonjwa husika na kuimalisha kinga ya Mwili mara kwa mara.
je kama hakuna HIV nini kinasababisha AIDS?
 
Hakuna kitu kinachoitwa HIV duniani na kila mtu anaweza kupata AIDS cha msingi ni kutibu magonjwa husika na kuimalisha kinga ya Mwili mara kwa mara.
Huwezi jua kuna HIV kama umezaliwa peke yako kwenye ukoo.

Na huwezi jua kuna HIV kama hufanyi kwenye settings za huduma za afya.

Huwezi jua kuna HIV kama ulishapigwa sana papuchi ukaenda kupima halafu ukaambiwa upo negative.

Kwanza wanaosema hakuna HIV ndiyo huwa wanaenda kupima. Sasa unaenda kupima nini kama HIV haipo?

Halafu wanakuja kujitapa hapa hakuna HIV, kumbe mkono wa Mungu ndiyo umewaokoa.

Jaribu siku moja kuwaza. Wewe ni mhudumu wa afya. Halafu wanakuja mawaziri kuchukua dawa. Na baada ya kuzoeana unakuwa unawapelekea walipo.

Hao mawaziri wasomi kwa mtizamo wako hawana akili. Wewe unayekula kwa mama unalalwa na house boy, na una boyfriends wa vocha kila mtaa umeenda kupima ukaambiwa hauna maabukizi halafu unasema HIV haipo.

Fjddjdjfurrhrvdhfjdjdhd
 
Sasa twende mdogomdogo...ukiona unazidiwa mwite kaka yako mkuyati akusaidie...

...
Cancer mpaka sasa researchers hawajui ni kitu gani kinachochea huu ugonjwa....

Hapa ulitakiwa kusema kwamba,western medicine researchers ndio hawajui...ukisema tu researchers utajumuisha na wale wa naturopath,ninyi wa western ndio hamjui,lakini wale wa naturopath wanajua...nataka ufahamu hivyo.

Na ndio maana ninyi hamuwezi kutibu cancer wakati wale wa naturopath wanatibu kabisa cancer na inapona.

Pia nataka ufahamu kwamba,kituo cha utafiti wa cancer kwa western medicine kilianzishwa mwaka 1890's...mpaka sasa ni zaidi ya karne moja na bado eti hakijui tiba ya cancer...do you think that is real?Unajua baadhi ya nyanja za kisayansi ambazo zimepiga hatua kubwa sana tangu miaka hiyo hadi sasa lakini hili suala la tiba ya cancer liko palepale?Ina maana mwanadamu ubongo wake uko limited kwenye cancer tu?Think about that.

..... Ningekuwa mimi ningepeleka research kutame ugonjwa ninaojua unaambukiza zaidi, na ndicho wanachofanya..

Sasa tuangalie takwimu za hapa chini halafu tuone kama ulichosema hapo juu kama wao au wewe mli/ulitumia akili au la....

Takwimu za WHO zinasema hivi;
Takriban watu 600,000 hufa kwa malaria kwa mwaka,watu milioni 1.5 hufa kwa TB kwa mwaka,watu milioni 1.5 hufa kwa hiyo mnayoiita HIV/AIDS kwa mwaka na watu milioni 6 hufa kwa cancer kwa mwaka.
Sasa vifo vinavyotokana na malaria,TB na huo uongo wa HIV/AIDS ukijumlisha kwa pamoja bado havifikii vile vya cancer kwa mwaka.Do you still have the same thought?Kwamba utaelekeza nguvu kwenye HIV/AIDS badala ya cancer kwasababu tu hiyo HIV/AIDS inaambukizwa?Does that make sense?

Ocean Road wanapokea wagonjwa wapya wa cancer takriban 400 kwa mwezi hivyo kufanya wagonjwa 5000 kwa mwaka,bado akili yako haijaona kitu hapo?Halafu mnasema kwamba ukitumia ARVs unaweza kuishi zaidi ya miaka 20,lakini pia mnajua kwamba cancer ni nadra sana kuishi zaidi ya miaka 5 hata kama utaanza tiba....kama hayo ndio mawazo yenu,kwanini basi hamuwekezi kwenye ugonjwa unaoua kwa wingi na kwa haraka zaidi na badala yake mnawekeza zaidi kwenye HIV/AIDS kwa zaidi ya miaka 30 sasa?Take a note.

...
Hebu nikuulize ndugu unafikiri tajiri mkubwa kama Steve Jobs angekubali kufa na cancer ya ini bila kuchangia research apone?

Are you real MD?Hivi kufa kuna makubaliaono?Kwamba unaamua tu hufi au unakufa kwa ugonjwa fulani kwa kuwa tu wewe ni maarufu au una pesa nyingi?Are you serious?Kwani wewe ulitaka Steve afe kwa sababu gani au ugonjwa gani ndio useme kwamba kafa kihalali?

Hivi kwani kuwa maarufu au kuwa na pesa nyingi ndio kunakufanya uwe unajua kila kitu?

Kwanza hujui hata historia ya cancer ya Steve na historia ya matibabu yake...wewe unajua labda kipande kidogo sana cha matibabu ya Steve,siwezi kupoteza muda kukufundisha na hili pia,tafuta mwenyewe....lakini dokezo tu.....cancer ya Steve ilianza kuwa harsh baada ya kuanza kufanya western treatment...lakini kabla ya hapo hakutumia tiba maalum zaidi ya kuwa vegetarian ambayo hiyo pekee ilimfanya adumu kwa miaka mingi sana hadi ndugu zake walipomlazimisha aanze western medicine ambayo ndio ilimfanya adhoofike haraka sana na mwishowe kufa..

Kifo cha Steve ni credit kwa western medicine theories kuhusu cancer....na ndio kweli jamaa wamefanikiwa kuwashawishi watu kama ninyi na ndio maana mnapenda sana kumtumia Steve kama icon kuhusu kutotibika kwa cancer.....funguka ndugu yangu..huu si ushabiki kama wa simba na yanga....hii ni sayansi...jifunze kujifunza mambo mapya,usiruhusu ubongo wako uwe kama pendulum.
 

Attachments

  • upload_2016-10-6_19-33-19.png
    46.2 KB · Views: 112
...

Huwezi jua kuna HIV kama ulishapigwa sana papuchi ukaenda kupima halafu ukaambiwa upo negative.

Kwanza wanaosema hakuna HIV ndiyo huwa wanaenda kupima. Sasa unaenda kupima nini kama HIV haipo?....

Unamjua Dr Eugene Lazowski?Kama humjui basi mtafute kwenye makabrasha usome kwanini huyu Dr alipata umaarufu...ukibahatika kuelewa ndio utajua kwamba kupima HIV ni nonsense tu....wale wenye mapungufu kwenye ubongo ndio wanahusudu sana kupima HIV.

Na kama hujaelewa basi usiendelee tena ku debate na mimi kwa maana utakuwa unapambana na akili kubwa sana bila kujijua.

NB:
Kama huelewi kuhusu alichokifanya Dr Lazowski,mwite kaka yako mkuyati akusaidie halafu muwe pamoja wakati mnajibu hoja zangu.He he heeee.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…