Bado hata hili sio suluhisho la mjadala, hao waliovumbua HIV/AIDS wanakiri kuwa kuna baadhi ya Watu hawawezi kupata HIV/AIDS. Mimi naamini ni miongoni mwa Watu hao. Hata nikidungwa damu ya mtu mwenye HIV/AIDS Nadhani nitaendelea kutest negative.Solution ya huu mjadala ni mtu achomwe damu yenye VVU halafu afanyiwe monitoring kwa muda
Otherwise hakutakua na mwisho
Jana tulikua na kesi moja nzito sana, kunajamaa anawake wawili, mmoja alikua mjamzito, akaenda kupima akakutwa ni HIV+ ila mumewe na mke mdogo wamepimwa wao wako (negative) mke alie athirika anataka apewe haki yake ya ndoa kavu kavu, wakati mume na mke mdogo ambao wazima hawataki apewe haki ya kavu kavu lazima watumie condom.
bi mkubwa ambae mgonjwa anadai hajawai kutoka nje ya ndoa, na mumewe pia anadai ivyo ivyo, swali linakuja je uo ugonjwa ameupataje.?
kwanini aupate mmoja wenzie waukose.? saizi uyo mama ananyinyesha je hatma ya mtoto itakuaje.? io ni kesi moja nayo ijua ngoja nikupe nyingine.
Hata kama hicho kirusi (HIV) kipo (kimegundulika na siyo kuvumbuliwa au kutengenezwa - angalia 'video clip' 1)bado hakuna ushahidi wa kisayansi kwamba kinasababisha UKIMWI (AIDS) - angalia 'video clip' 2.
Sir with Love; Kavel; Deception - your comments on what the 2 video clips imply!
Mkuu From Sir With Love, pia naomba unieleweshe kwenye hoja ifuatayo:
Tunaambiwa kwamba HIV yupo kwenye category ya virusi waitwao 'Retrovirus'.
Niliwahi kusoma mahala kwamba retroviruses ni harmless.
If retroviruses are harmless in the body, why sasa huyo HIV ashambulie kinga ya mwili??!!!
-Kaveli-
Ninaheshimu kila mtu JF, lakini Kwenye huu mjadala, Pro HIV/AIDS hoja zenu hazina uzito, ni za kitoto halafu zinasikitisha sana, Kwenye hii komenti kuna sentensi umeandika,"....wewe ni mhudumu wa afya, halafu wanakuja mawaziri kuchukua dawa, . . . . hao mawaziri wasomi Kwa mtazamo wako hawana akili......"Huwezi jua kuna HIV kama umezaliwa peke yako kwenye ukoo.
Na huwezi jua kuna HIV kama hufanyi kwenye settings za huduma za afya.
Huwezi jua kuna HIV kama ulishapigwa sana papuchi ukaenda kupima halafu ukaambiwa upo negative.
Kwanza wanaosema hakuna HIV ndiyo huwa wanaenda kupima. Sasa unaenda kupima nini kama HIV haipo?
Halafu wanakuja kujitapa hapa hakuna HIV, kumbe mkono wa Mungu ndiyo umewaokoa.
Jaribu siku moja kuwaza. Wewe ni mhudumu wa afya. Halafu wanakuja mawaziri kuchukua dawa. Na baada ya kuzoeana unakuwa unawapelekea walipo.
Hao mawaziri wasomi kwa mtizamo wako hawana akili. Wewe unayekula kwa mama unalalwa na house boy, na una boyfriends wa vocha kila mtaa umeenda kupima ukaambiwa hauna maabukizi halafu unasema HIV haipo.
Fjddjdjfurrhrvdhfjdjdhd
Tuanzie hapa kwanza. Kimsingi kuna makundi matatu kwenye hili suala la HIV/AIDS:
1. Wanaoamini kuwa HIV sio real, ni fake. Ni HOAX! Yaani kwamba HIV hayupo kiuhalisia.
2. Wanaoamini kuwa HIV ni real, yupo, na anasababisha Ukimwi!
3. Wanaoamini kuwa HIV ni real, yupo, lakini hana madhara mwilini, ni harmless, hasababishi Ukimwi!
Wewe binafsi upo kwenye kundi lipi hapo?
-Kaveli-
....
Huwezi ukasema uzazi wa mpango unasababisha AIDS. Acha basi kujifanya unajua wakati hujui......
....
AIDS in ugonjwa unaosababishwa na kutokua na kinga kwenye mwili wako....
Mkuu From Sir With Love , you are very right kwa hicho unachokieleza, kwamba:
1. Dr. Robert Gallo aliiba data za 'mfaransa' fulani na akasema amevumbua HIV. Hivyo, kumfanya R.Gallo awe wa kwanza kutangazwa na serikali ya Marekani kuwa ndiye mgunduzi wa HIV.
-Kaveli-
....
4. Huyo Dr Robert Gallo, zamani miaka ya nyuma sana aliwahi pia kuleta 'usanii' kwenye ugunduzi wa 'CANCER'. Aliambulia criticism kubwa sana from the medical science community.
-Kaveli-
....Baada ya kuicheki, please tupe maoni yako juu ya hicho alichokisema humo:
-Kaveli-
Jana tulikua na kesi moja nzito sana, kunajamaa anawake wawili, mmoja alikua mjamzito, akaenda kupima akakutwa ni HIV+ ila mumewe na mke mdogo wamepimwa wao wako (negative) mke alie athirika anataka apewe haki yake ya ndoa kavu kavu, wakati mume na mke mdogo ambao wazima hawataki apewe haki ya kavu kavu lazima watumie condom.
bi mkubwa ambae mgonjwa anadai hajawai kutoka nje ya ndoa, na mumewe pia anadai ivyo ivyo, swali linakuja je uo ugonjwa ameupataje.?
kwanini aupate mmoja wenzie waukose.? saizi uyo mama ananyinyesha je hatma ya mtoto itakuaje.? io ni kesi moja nayo ijua ngoja nikupe nyingine.
ndugu yangu mmoja alipima wakati wa ujauzito akakutwa ni + akaanza kua anagawa ovyo utamu wake, kunajamaa akawa ndio anakula na kusaza apo kwa uyo ndugu yangu, kunasiku jamaa ikabidi nimueleze hali alisi ya huyo ndugu yangu, jamaa alishangaa sana ikabidi aende kupima tena kwa miezi mitatu mitatu, madactari hawaoni kitu na jamaa yuko -
najiuliza pia je kaukosaje mana huyo dem alikua hatumii dozi na walibaatika kuzaanae.?
mwingine pia ana wake wawili ajabu mke mkubwa kila baada ya miezi3 anapima na hana kitu, ila mwanaume na mke mdogo ni wagonjwa, japo saizi lila mtu analala kivyake ila napata maswali mengi sana juu ya huu ugonjwa asee.
....The bottom line ni kwamba MIMBA inaweza sababisha FALSE HIV+ kwenye hivyo vipimo...
-Kaveli-
....Kimsingi, hili suala la HIV/AIDS ni kizungumkuti kikubwa. Lina 'mazingaombwe' na sintofahamu nyingi sana.
-Kaveli-
Tuanzie hapa kwanza. Kimsingi kuna makundi matatu kwenye hili suala la HIV/AIDS:
1. Wanaoamini kuwa HIV sio real, ni fake. Ni HOAX! Yaani kwamba HIV hayupo kiuhalisia.
2. Wanaoamini kuwa HIV ni real, yupo, na anasababisha Ukimwi!
3. Wanaoamini kuwa HIV ni real, yupo, lakini hana madhara mwilini, ni harmless, hasababishi Ukimwi!
Wewe binafsi upo kwenye kundi lipi hapo?
-Kaveli-
Kundi la 2: hili ni kundi lisilotaka kukubali (kwa sababu zao kiuchumi, kijamii, kisiasa ukweli kwamba kinga ya mwili hudhoofishwa na magonjwa mbalimbali.Mkuu kundi la 1 na la 3 wako sawa kabisa...ila kuna technic kidogo sana ambayo wengi hawaifikirii...nitakueleza kwanini baadaye....lakini technic hiyo iko kwenye jina lenyewe yaani 'HIV'
Tunasubiri muendelezoMkuu kundi la 1 na la 3 wako sawa kabisa...ila kuna technic kidogo sana ambayo wengi hawaifikirii...nitakueleza kwanini baadaye....lakini technic hiyo iko kwenye jina lenyewe yaani 'HIV'
Wakati tunasubiri maendeleo, ni vizuri kutambua, hadi sasa kisayansi imethibitika kwamba:Tunasubiri muendelezo
Mkuu ujue haya mambo ni suala la logic tu.Nitasema kwa ufupi....kwamba makundi yote haya mawili,yaani lile la 1 na lile la 3,yanajua kwamba AIDS haisababishwi na retrovirus aliyepewa jina la HIV.Sasa kwa kuwa huo ndio ukweli,basi kimantiki,jina la HIV linakosa maana yake,yaani kama hicho kirusi kilichopewa jina la 'HIV' hakina tabia inayoakisi jina hilo basi jina lenyewe linakosa maana.Yaani ni sawa na wewe kuniita mimi ng'ombe,wewe kuniita mimi jina hilo haina maana kwamba mimi ndio nimeshakuwa ng'ombe au nina sifa ya ng'ombe,la hasha,ni jina tu ambalo wewe umeamua kunipa kutokana na sababu unazozijua wewe.Sasa hili kundi lingine linaposema hakuna kabisa HIV,liko sahihi kabisa kwa maana hiyo hapo juu......lakini lile kundi lingine lina bypass maana ya HIV na badala yake wanatumia abbreviation hii ya HIV kama jina tu alilopewa retrovirus....pia na kundi hili wanajua wazi kabisa kwamba huyo HIV hakuwahi kutolewa moja kwa moja kutoka kwa mtu anayeshukiwa kuwa naye....na huo ndio ukweli.Sasa hapa kuna wale wanaodadavua HIV kama jina tu na wale wanaodadavua HIV kama maana yake ilivyo kwa kirefu....wote wako sahihi.Kundi la 2: hili ni kundi lisilotaka kukubali (kwa sababu zao kiuchumi, kijamii, kisiasa ukweli kwamba kinga ya mwili hudhoofishwa na magonjwa mbalimbali.
Kutokana na jinsi sisi binadamu tunavyoishi (life style) - matumizi yasiyo sahihi ya muda na vyakula - ikimbatana na kuishi katika mazingira machafu, binadamu tunaugua.
Binadamu tukiugua tunalazimika kutumia madawa (kwa usahihi au la) kutibu hayo magonjwa, bila kujua kwamba kitendo hicho kinadhoofisha kinga ya mwili.
Ushahidi uliyowazi ni masharti yanayoambatana na matumizi ya ARVs km mtumiaje lazima awe na lishe bora.
"Deception" nasubiri kuijua hiyo 'technic" ya kundi la 1 na 2. Lakini ukweli wa makundi haya ni kwamba, kinga dhidi ya UKIMWI kuzuia/kuepuka njia zinazodhohofisha kinga ya mwili km kuupa mwili nafasi ya kujitibu magonjwa, kabla ya matumizi ya dawa. Maji na vyakula vyenye lishe vinaongeza uwezo wa kujitibu.
Mkuu From Sir With Love
Tunaambiwa kwamba HIV yupo kwenye category ya virusi waitwao 'Retrovirus'.
If retroviruses are harmless in the body, why sasa huyo HIV ashambulie kinga ya mwili??!!!
-Kaveli-
Hapa ukweli ni kwamba HAKUNA UHUSIANO KATI YA HIV NA AIDS...full stop....na pia HAKUNA JUHUDI ZOZOTE ZINAZOENDELEA KUTHIBITISHA UHUSIANO KATI YA HIV NA AIDS...HAKUNA...yaani miaka zaidi ya 30 imepita bado hawajui uhusiano huo halafu wakati huohuo wameshahitimisha kwamba HIV ndio sababu na weshatoa vipimo na madawa,halafu tena waanze kutafuta upya uhusiano wa HIV na AIDS?...hakuna kitu hicho....ukweli umeshajulikana tayari kwamba hakuna HIV/AIDS..baasi....ndio maana mikanganyiko haiishi kutokea...hata humu kuna mtu kaleta ushahidi wa mambo typical yanayotokea huku mitaani na kwenye vituo vya afya,mifano yote hii watu.wanajifanya hawaioni na badala yake huishia tu kusema kwamba eti suala hili lina utata au ni mazingaombwe....HIV/AIDS sasa imeshakuwa IMANI kama zilivyo IMANI za kidini...ndio maana kumtoa mtu kutoka kwenye utumwa huu wa kimawazo ni vigumu sana.2) Uhusiano wa HIV na AIDS hujathibitishwa. Juhudi zinaendelea kuthibitisha kuwapo kwa HIV na uhusiano wake na AIDS.
Deception, ukweli wa kisayansi ndio huo, hadi sasa.Mkuu ujue haya mambo ni suala la logic tu.Nitasema kwa ufupi....kwamba makundi yote haya mawili,yaani lile la 1 na lile la 3,yanajua kwamba AIDS haisababishwi na retrovirus aliyepewa jina la HIV.Sasa kwa kuwa huo ndio ukweli,basi kimantiki,jina la HIV linakosa ...
Sasa hapa kuna wale wanaodadavua HIV kama jina tu na wale wanaodadavua HIV kama maana yake ilivyo kwa kirefu....wote wako sahihi.