Ni kweli ulilosema maana kuna watu wenye tabia kama ya Thomas wa Biblia, ambao hawaamini mpaka waneona, ambapo wakati huo wamekuwa wamechelewa kuchukua tahadhari.Pamoja na hayo yote uliyotaja,Takwimu sahihi ni lazima!Ukweli siku zote ni jibu sahihi!
Naam,ikiwezekana kimbiza familia mbali kabisa huko kijijini ubaki unapambana mwenyewe mjini!Mimi napenda kuishi kwa vitendo na sio maneno,nimeona mkuu wa nchi kakimbilia kijijini na familia yake nami nimepeleka familia yangu yote kijijini,ikinilazimu nami nitaenda kujumuika nao!Ni kweli ulilosema maana kuna watu wenye tabia kama ya Thomas wa Biblia, ambao hawaamini mpaka waneona, ambapo wakati huo wamekuwa wamechelewa kuchukua tahadhari.
Kwa hiyo mtu asisubiri kupewa takwimu ndipo azingatie ushauri wa kiafya au kubadilika kitabia.
Huu siyo wakati wa kwenda kwenye baa, nyumba za starehe au sokoni, kuliko na misongamano ya watu. Ikibidi mtu aende huko awe amejiandaa haswa.
Hizo nchi ulizozitaja zote walichelewa kuikabili corona kama ambavyo Tanzania imefanya na ikafika wakati raisi wa Italy alikuwa anaongea hadi analia sasa kwa kuwa wao walikosea ndio na sisi tukoseeHao wenyewe waliojiwekea lockdown yamewashinda na sasa wameanza kulegeza na kuanza kufungua nchi zao wakati maambukizi na vifo bado viko juu. Baadhi ya majimbo USA wameshaanza kufungua, hali kadhalika Hispania, Italy, India nk.
Ila wanaona aibu kusema yamewashinda!
Ni wazi hata wacha Mungu wakumbuke maneno ya Yesu:-Naam,ikiwezekana kimbiza familia mbali kabisa huko kijijini ubaki unapambana mwenyewe mjini!Mimi napenda kuishi kwa vitendo na sio maneno,nimeona mkuu wa nchi kakimbilia kijijini na familia yake nami nimepeleka familia yangu yote kijijini,ikinilazimu nami nitaenda kujumuika nao!
Wafanyakazi walioajiriwa na serikali atakayeacha kufanya kazi au sijui asingizie kufanyia kazi nyumbani atafukuzwa kaziUzuri mmoja watakaochukuwa tahadhari hawawezi kulazimishwa na policcm.
Juzi tumeona "wagonjwa" wamefanyishwa party.Kuna siku niliandika Uzi kama Tetesi nikisema kuwa Tanzania hakuna lockdown mkaufuta licha ya kutoa sababu. The same day jioni yake mkuu akasema yale niliyoyasema, sijui aliyefuta alijisikiaje.
Sasa ni wazi kuwa takwimu halisi za wagonjwa wa COVID 19 hamtapewa, mkipewa mjue kuwa zimechakachuliwa.
Sasa ni mwendo wa bata na vifaranga wake, kila mmoja ajilinde.
Ukicheza na ukajawa na amani wakati huu wa hatari ukasahau kujilinda unakwenda
Tafsiri yakutopiga kura au kutoshiriki mambo ya uchaguzi means umemchagua au umempigia kura usiyemtakaKweli kabisa, kumbe wote tunapiga kura sema tu wengine tunapigia home
Paskali msemo wake hauna tofauti na ule wa ' UKIONA KIMYA UJUE KILA KITU KIPO SAWA'Mkuu umeongea kifalsafa zaid embu tufafanulie sis vilaza huku[emoji1][emoji1]
Wakuu huu sio utani watu wanakufa sana na corona.
Nina rafiki zangu wengi wanatujuza maswahibu yanayowakuta yatokanayo na corona lakini hakuna wa kutangaza.
Mbunge wa Arumeru mashariki mdogo wake kafariki kwa corona na familia iko karantini.
Arusha central police kuna askari kadondoka kazini kwa matatizo ya corona na sasa usipovaa mask huingii kuhudumiwa, haitangazwi.
Matukio ni mengi mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnngu atuponye
Unamtakia mema kweliPost chief nakupa ya soda au bia weekend hii
Kumbe Wakenya ndio wanaofanya watu waambukizane kimyakimyaTatizo wakenya walimcheka jiwe wetu, alipotangaza tutegemee maombi halafu keshokutwa yake wakaripotiwa wagonjwa 84 wakenya walizomea mno. Jiwe akaona dawa yao ni kuwafunikia tu hakuna habari ya mgonjwa hapa ila ubaya wa ugonjwa haufichwagi hata siku moja na ukiuficha utakuumbua tu
Kabisa...Yes sasa ni mwendo wa kupona tu.
Usicheze na kufukiziwa kama wanavyofukiziwa vichaa