mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,227
- 6,670
Ni kweli ulilosema maana kuna watu wenye tabia kama ya Thomas wa Biblia, ambao hawaamini mpaka waneona, ambapo wakati huo wamekuwa wamechelewa kuchukua tahadhari.Pamoja na hayo yote uliyotaja,Takwimu sahihi ni lazima!Ukweli siku zote ni jibu sahihi!
Kwa hiyo mtu asisubiri kupewa takwimu ndipo azingatie ushauri wa kiafya au kubadilika kitabia.
Huu siyo wakati wa kwenda kwenye baa, nyumba za starehe au sokoni, kuliko na misongamano ya watu. Ikibidi mtu aende huko awe amejiandaa haswa.