Tangu hotuba ya Magufuli Chato mbele ya wakuu wa Vyombo vya Dola msitegemee kutangaziwa wagonjwa wapya wa COVID 19

Jana Hosp ya Amana wameletwa Manesi nane
kama nikiruhusiwa ntapost video kutoka Amana soon.

Katika hao nane kuna sita wanatoka kituo kimoja, inauma sana. Tuombe vifo viendelee kubaki kama tulivyotangaziwa, vinginevyo tutapoteza sana nguvu kazi
 
Kuna siku niliandika Uzi kama Tetesi nikisema kuwa Tanzania hakuna lockdown mkaufuta licha ya kutoa sababu. The same day jioni yake mkuu akasema yale niliyoyasema, sijui aliyefuta alijisikiaje.

Sasa ni wazi kuwa takwimu halisi za wagonjwa wa COVID 19 hamtapewa, mkipewa mjue kuwa zimechakachuliwa.
Sasa ni mwendo wa bata na vifaranga wake, kila mmoja ajilinde.

Ukicheza na ukajawa na amani wakati huu wa hatari ukasahau kujilinda unakwenda
Abiria chunga mzigo wake
 
Unfortunately,watu wa mtaa wa lumumba wanaamini ukweli ndio uzushi. Hiyo ndio iliyokuwa hoja yangu.
Inasikitika sana akili za vijana wa Lumumba wamejaa roho mbaya, rushwa nk, wakipewa kitu kidogo wanatetea hata mauaji, hawana utu zaidi ya matumbo yao, sio vijana pekee hata wazee.
Kuna huyu Pohamba huwa akili zinanrudi anatoa point mara chache lakini kuna hizi chata zinejaa roho mbaya balaa
johnthebaptist
Magonjwa Mtambuka
Janga jipya jf ni Bia yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu acha kuroroma umeambiwa jilinde.Sasa wakitangaza ndio badiriko litakuwepo kwa wewe kuchukua tahadhari.Chukua tahadhari.
 
Unachukua tahadhari lakini? Usipojiangalia utakwenda na maji huku bado unazungusha mikono, shauri yako.
 
Tujiandae kutengwa na dunia.
Hao wenyewe waliojiwekea lockdown yamewashinda na sasa wameanza kulegeza na kuanza kufungua nchi zao wakati maambukizi na vifo bado viko juu. Baadhi ya majimbo USA wameshaanza kufungua, hali kadhalika Hispania, Italy, India nk.
Ila wanaona aibu kusema yamewashinda!
 
kama walichelewa unatarajia nini?
 
Katika hao nane kuna sita wanatoka kituo kimoja, inauma sana. Tuombe vifo viendelee kubaki kama tulivyotangaziwa, vinginevyo tutapoteza sana nguvu kazi
Mimi nilijua hao manesi wamekuja kuongeza nguvu, kumbe ni wagonjwa!!!
 
Inasikitika sana akili za vijana wa Lumumba wamejaa roho mbaya, rushwa nk, wakipewa kitu kidogo wanatetea hata mauaji, hawana utu zaidi ya matumbo yao, sio vijana pekee hata wazee.
Kuna huyu Pohamba huwa akili zinanrudi anatoa point mara chache lakini kuna hizi chata zinejaa roho mbaya balaa
johnthebaptist
Magonjwa Mtambuka
Janga jipya jf ni Bia yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wameambiwa uzalendo ni kuwa upande wa mtawala(CCM) bila kujali mtawala anataka nini au amefanya nini?
 
Kuna siku niliandika Uzi kama Tetesi nikisema kuwa Tanzania hakuna lockdown mkaufuta licha ya kutoa sababu. The same day jioni yake mkuu akasema yale niliyoyasema, sijui aliyefuta alijisikiaje.

Sasa ni wazi kuwa takwimu halisi za wagonjwa wa COVID 19 hamtapewa, mkipewa mjue kuwa zimechakachuliwa.
Sasa ni mwendo wa bata na vifaranga wake, kila mmoja ajilinde.

Ukicheza na ukajawa na amani wakati huu wa hatari ukasahau kujilinda unakwenda
Sawa kabisa bwana. Kila mtu na lake kujilinda.
 
Back
Top Bottom