Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Ndiko tunapoelekeaMkuu usisahau ule usemi usemao Mficha maradhi kifo humuumbua. Wataumbuka wengi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiko tunapoelekeaMkuu usisahau ule usemi usemao Mficha maradhi kifo humuumbua. Wataumbuka wengi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inatusaidia nini Onghwise !! Jana nimefurahia Uhuru alivyojitokeza humble mbele camera kuzungumzia Covid 19.Sisi kihabari, no news is good news.
P
Uhuru ni Uhuru, Museveni ni Museveni na Magufuli ni Magufuli.Inatusaidia nini Onghwise !! Jana nimefurahia Uhuru alivyojitokeza humble mbele camera kuzungumzia Covid 19.
Unfortunately,watu wa mtaa wa lumumba wanaamini ukweli ndio uzushi. Hiyo ndio iliyokuwa hoja yangu.
Jana Hosp ya Amana wameletwa Manesi nane
kama nikiruhusiwa ntapost video kutoka Amana soon.
Abiria chunga mzigo wakeKuna siku niliandika Uzi kama Tetesi nikisema kuwa Tanzania hakuna lockdown mkaufuta licha ya kutoa sababu. The same day jioni yake mkuu akasema yale niliyoyasema, sijui aliyefuta alijisikiaje.
Sasa ni wazi kuwa takwimu halisi za wagonjwa wa COVID 19 hamtapewa, mkipewa mjue kuwa zimechakachuliwa.
Sasa ni mwendo wa bata na vifaranga wake, kila mmoja ajilinde.
Ukicheza na ukajawa na amani wakati huu wa hatari ukasahau kujilinda unakwenda
Inasikitika sana akili za vijana wa Lumumba wamejaa roho mbaya, rushwa nk, wakipewa kitu kidogo wanatetea hata mauaji, hawana utu zaidi ya matumbo yao, sio vijana pekee hata wazee.Unfortunately,watu wa mtaa wa lumumba wanaamini ukweli ndio uzushi. Hiyo ndio iliyokuwa hoja yangu.
Unachukua tahadhari lakini? Usipojiangalia utakwenda na maji huku bado unazungusha mikono, shauri yako.Inasikitika sana akili za vijana wa Lumumba wamejaa roho mbaya, rushwa nk, wakipewa kitu kidogo wanatetea hata mauaji, hawana utu zaidi ya matumbo yao, sio vijana pekee hata wazee.
Kuna huyu Pohamba huwa akili zinanrudi anatoa point mara chache lakini kuna hizi chata zinejaa roho mbaya balaa
johnthebaptist
Magonjwa Mtambuka
Janga jipya jf ni Bia yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wenyewe waliojiwekea lockdown yamewashinda na sasa wameanza kulegeza na kuanza kufungua nchi zao wakati maambukizi na vifo bado viko juu. Baadhi ya majimbo USA wameshaanza kufungua, hali kadhalika Hispania, Italy, India nk.Tujiandae kutengwa na dunia.
kama walichelewa unatarajia nini?Hao wenyewe waliojiwekea lockdown yamewashinda na sasa wameanza kulegeza na kuanza kufungua nchi zao wakati maambukizi na vifo bado viko juu. Baadhi ya majimbo USA wameshaanza kufungua, hali kadhalika Hispania, Italy, India nk.
Ila wanaona aibu kusema yamewashinda!
Mimi nilijua hao manesi wamekuja kuongeza nguvu, kumbe ni wagonjwa!!!Katika hao nane kuna sita wanatoka kituo kimoja, inauma sana. Tuombe vifo viendelee kubaki kama tulivyotangaziwa, vinginevyo tutapoteza sana nguvu kazi
Wameambiwa uzalendo ni kuwa upande wa mtawala(CCM) bila kujali mtawala anataka nini au amefanya nini?Inasikitika sana akili za vijana wa Lumumba wamejaa roho mbaya, rushwa nk, wakipewa kitu kidogo wanatetea hata mauaji, hawana utu zaidi ya matumbo yao, sio vijana pekee hata wazee.
Kuna huyu Pohamba huwa akili zinanrudi anatoa point mara chache lakini kuna hizi chata zinejaa roho mbaya balaa
johnthebaptist
Magonjwa Mtambuka
Janga jipya jf ni Bia yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kabisa bwana. Kila mtu na lake kujilinda.Kuna siku niliandika Uzi kama Tetesi nikisema kuwa Tanzania hakuna lockdown mkaufuta licha ya kutoa sababu. The same day jioni yake mkuu akasema yale niliyoyasema, sijui aliyefuta alijisikiaje.
Sasa ni wazi kuwa takwimu halisi za wagonjwa wa COVID 19 hamtapewa, mkipewa mjue kuwa zimechakachuliwa.
Sasa ni mwendo wa bata na vifaranga wake, kila mmoja ajilinde.
Ukicheza na ukajawa na amani wakati huu wa hatari ukasahau kujilinda unakwenda