Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Mmh hizi tuhuma nzito.Wakuu huu sio utani watu wanakufa sana na corona.
Nina rafiki zangu wengi wanatujuza maswahibu yayowakuta yatokanayo na corona lakini hakuna wa kutangaza.
Mbunge wa Arumeru mashariki mdogo wake kafariki kwa corona na familia iko karantini.
Arusha central police kuna askari kadondoka kazini kwa matatizo ya corona na sasa usipovaa mask huingii kuhudumiwa, haitangazwi.
Matukio ni mengi mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakataa kama zina ukweli au la.