Tangu hotuba ya Magufuli Chato mbele ya wakuu wa Vyombo vya Dola msitegemee kutangaziwa wagonjwa wapya wa COVID 19

Wakuu huu sio utani watu wanakufa sana na corona.
Nina rafiki zangu wengi wanatujuza maswahibu yayowakuta yatokanayo na corona lakini hakuna wa kutangaza.
Mbunge wa Arumeru mashariki mdogo wake kafariki kwa corona na familia iko karantini.
Arusha central police kuna askari kadondoka kazini kwa matatizo ya corona na sasa usipovaa mask huingii kuhudumiwa, haitangazwi.

Matukio ni mengi mno

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh hizi tuhuma nzito.
Sijakataa kama zina ukweli au la.
 
Kuna siku niliandika Uzi kama Tetesi nikisema kuwa Tanzania hakuna lockdown mkaufuta licha ya kutoa sababu. The same day jioni yake mkuu akasema yale niliyoyasema, sijui aliyefuta alijisikiaje.

Sasa ni wazi kuwa takwimu halisi za wagonjwa wa COVID 19 hamtapewa, mkipewa mjue kuwa zimechakachuliwa.
Sasa ni mwendo wa bata na vifaranga wake, kila mmoja ajilinde.

Ukicheza na ukajawa na amani wakati huu wa hatari ukasahau kujilinda unakwenda
Kigogo2014 anatosha kutoa mwelekeo nini kinaendelea . Wala usiahangaike na hapa. Mfano leo amesema Chato kunawaka moto. Ukimpigia ndugu aliyeko huko anakupa ukweli/uongo.
 
Hotuba ya jiwe iliwachanganya wananchi na ilijaa maelekezo kuhusu korona ya siyokuwa na ushahidi wa kisayansi

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu shida ni njaa zao tu.

Wajiuzuru kama hawakubaliani naye.

Yeyote aliye naye hataweza kuja kuruka. Wote kabisa maji ga nyanja watawajibika kwa waliyoyasababisha.

Acha waendelee kuendekeza njaa.
 
Kuna siku niliandika Uzi kama Tetesi nikisema kuwa Tanzania hakuna lockdown mkaufuta licha ya kutoa sababu. The same day jioni yake mkuu akasema yale niliyoyasema, sijui aliyefuta alijisikiaje.

Sasa ni wazi kuwa takwimu halisi za wagonjwa wa COVID 19 hamtapewa, mkipewa mjue kuwa zimechakachuliwa.
Sasa ni mwendo wa bata na vifaranga wake, kila mmoja ajilinde.

Ukicheza na ukajawa na amani wakati huu wa hatari ukasahau kujilinda unakwenda
Najiuliza kwa nini baadhi ya watu, kama wewe, mnataka takwimu za maambukizi na vifo? Mnashabikia nini hasa?

Kama kuna dhamira ya dhati kutokomeza maambukizi, anza na nafsi yako kuzingatia ushauri wa kitaalamu.

Hakikisha aliye karibu nawe haambukizwi wala humwambukizi.

Weka na/au kaa kwenye mazingira salama ya kinga.

Kwa pamoja Tanzania bila COVID-19 inawezekana.

JILINDE UMLINDE JIRANI
 
Aliyeelewa hii sentence anisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
No news is good news ni msemo wa waingereza (nahau fulani),tafsiri nyepesi ni kwamba usiposikia habari (no news) maana yake kuna habari njema kwa maana ya kwamba kungekuwepo na habari mbaya ungeshasikia.Mm nikiwa mjini na mama yangu akiwa kijijini huko,kukiwa kimya najua mama yangu ni mzima kwani akiumwa tu huwa napigiwa simu.Ila kwa hili la Corona Mayala amechemsha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyeelewa hii sentence anisaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
No news is good news ni msemo wa waingereza (nahau fulani),tafsiri nyepesi ni kwamba usiposikia habari (no news) maana yake kuna habari njema kwa maana ya kwamba kungekuwepo na habari mbaya ungeshasikia.Mm nikiwa mjini na mama yangu akiwa kijijini huko,kukiwa kimya najua mama yangu ni mzima kwani akiumwa tu huwa napigiwa simu.Ila kwa hili la Corona Mayala amechemsha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu huu sio utani watu wanakufa sana na corona.
Nina rafiki zangu wengi wanatujuza maswahibu yayowakuta yatokanayo na corona lakini hakuna wa kutangaza.
Mbunge wa Arumeru mashariki mdogo wake kafariki kwa corona na familia iko karantini.
Arusha central police kuna askari kadondoka kazini kwa matatizo ya corona na sasa usipovaa mask huingii kuhudumiwa, haitangazwi.

Matukio ni mengi mno

Sent using Jamii Forums mobile app
Arusha matukio ni mengi ya watu wanaofariki na Corona ila serikali imekaa kimya..Sheikh Sharif Issa wa Arusha mtaa alifariki kwa corona wiki iliyopita mwili wake ulizikwa na polis jioini siku ya jumatatu.

Arusha..Mwanza ...Mbaya na Dar hali sio hali baada ya Meko kusema sio kila kifo ni corona Tz hakuna update yoyote ya corona tena..
 
Najiuliza kwa nini baadhi ya watu, kama wewe, mnataka takwimu za maambukizi na vifo? Mnashabikia nini hasa?

Kama kuna dhamira ya dhati kutokomeza maambukizi, anza na nafsi yako kuzingatia ushauri wa kitaalamu.

Hakikisha aliye karibu nawe haambukizwi wala humwambukizi.

Weka na/au kaa kwenye mazingira salama ya kinga.

Kwa pamoja Tanzania bila COVID-19 inawezekana.

JILINDE UMLINDE JIRANI
Pamoja na hayo yote uliyotaja,Takwimu sahihi ni lazima!Ukweli siku zote ni jibu sahihi!
 
Najiuliza kwa nini baadhi ya watu, kama wewe, mnataka takwimu za maambukizi na vifo? Mnashabikia nini hasa?

Kama kuna dhamira ya dhati kutokomeza maambukizi, anza na nafsi yako kuzingatia ushauri wa kitaalamu.

Hakikisha aliye karibu nawe haambukizwi wala humwambukizi.

Weka na/au kaa kwenye mazingira salama ya kinga.

Kwa pamoja Tanzania bila COVID-19 inawezekana.

JILINDE UMLINDE JIRANI
Siku utakazimzika ndugu yako kwa corona utajua namaanisha nini?
Kwahiyo wewe kwa akili yako unaamini Tanzania tumeishinda c-19 na kwamba hakuna new cases?
Wanaficha kwa maslahi ya nani?
 
Arusha matukio ni mengi ya watu wanaofariki na Corona ila serikali imekaa kimya..Sheikh Sharif Issa wa Arusha mtaa alifariki kwa corona wiki iliyopita mwili wake ulizikwa na polis jioini siku ya jumatatu.

Arusha..Mwanza ...Mbaya na Dar hali sio hali baada ya Meko kusema sio kila kifo ni corona Tz hakuna update yoyote ya corona tena..
Sielewi kuwa wanaficha kwa maslahi ya nani ilhsli dunia nzima inatangaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku utakazimzika ndugu yako kwa corona utajua namaanisha nini?
Kwahiyo wewe kwa akili yako unaamini Tanzania tumeishinda c-19 na kwamba hakuna new cases?
Wanaficha kwa maslahi ya nani?

Sijasema Tanzania tumeishinda c-19 zaidi ya kusisitiza kila mwananchi kuwajibika katika janga hili. Mwisho wa siku ni wewe na siyo yeye atakayepoteza maisha. Kama hujasoma bandiko langu, pitia kwa sasa

https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1720271/
 
Wakuu huu sio utani watu wanakufa sana na corona.
Nina rafiki zangu wengi wanatujuza maswahibu yayowakuta yatokanayo na corona lakini hakuna wa kutangaza.
Mbunge wa Arumeru mashariki mdogo wake kafariki kwa corona na familia iko karantini.
Arusha central police kuna askari kadondoka kazini kwa matatizo ya corona na sasa usipovaa mask huingii kuhudumiwa, haitangazwi.

Matukio ni mengi mno

Sent using Jamii Forums mobile app
Arusha matukio ni mengi ya watu wanaofariki na Corona ila serikali imekaa kimya..Sheikh Sharif Issa wa Arusha mtaa alifariki kwa corona wiki iliyopita mwili wake ulizikwa na polis jioini siku ya jumatatu.

Arusha..Mwanza ...Mbaya na Dar hali sio hali baada ya Meko kusema sio kila kifo ni corona Tz hakuna update yoyote ya corona tena..
Sielewi kuwa wanaficha kwa maslahi ya nani ilhsli dunia nzima inatangaza

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mambo mawili .
Moja ni kuhusu uchumi
Magu plan yake ni kukusanya mapato ili aendeshe serikali.
Magu anaona watu wafanye biashara ili akusanye mapato .

Pili...Ni mpango nadhani wa nchi za socialism kuficha taarifa angalia china..urus..Korea kaskazn taarifa zao kuhusu janga hili sio sahihi hata kidgo wataka kuaminisha dunia kuwa katk nchi zao maambukiz n kidogo au hakuna kabisa.
 
Back
Top Bottom