Tangu kuanzishwa kwa TLS, uongozi wa Mwabukusi ndio wa ovyo zaidi

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Kwanza watu walikuwa na matarijio makubwa sana kwamba sasa serikali ingeweza kushikishwa adabu na kufuata misingi ya kisheria.

Watu walitarajia kuwa zile kesi za kikatiba alizokuwa anazifungua Marehemu Mchungaji Mtikila zingeendelezwa na kuishikisha adabu serikali dhalimu ya CCM.

Lakini hata kijana aliyekuwa anatembea nae wakifanya harakati alishatekwa na Mwabukusi yupo kimya.
 
Screenshot_20260525-185254 (1).jpg
 
kwakweli, UVCCM si mmeanzisha public bar ambayo hata wamaofanya kazi huko hawakifahamu hicho chama? mnahangaika nini na TLS?
 
Kwanza watu walikuwa na matarijio makubwa sana kwamba sasa serikali ingeweza kushikishwa adabu na kufuata misingi ya kisheria.

Watu walitarajia kuwa zile kesi za kikatiba alizokuwa anazifungua Marehemu Mchungaji Mtikila zingeendelezwa na kuishikisha adabu serikali dhalimu ya CCM.

Lakini hata kijana aliyekuwa anatembea nae wakifanya harakati alishatekwa na Mwabukusi yupo kimya.
Kanye kwanza akili irudi.

Aliyekwambia mahakama kwasasa zinafanya chochote ni nani?

Hujui Mwabukusi kafungua kesi mahakamani kuhusu Mdude na mahakama imekataa, anatakiwa kufanyaje??

Kesi ya Kibatala kuhusu Polepole imeishia wapi?

Hivi kabla ya lawama mna majbu yoyote kweli?

Aliyekwambia serikali za kigaidi zinaheshimu mahakama nani??
 
Kwanza watu walikuwa na matarijio makubwa sana kwamba sasa serikali ingeweza kushikishwa adabu na kufuata misingi ya kisheria.

Watu walitarajia kuwa zile kesi za kikatiba alizokuwa anazifungua Marehemu Mchungaji Mtikila zingeendelezwa na kuishikisha adabu serikali dhalimu ya CCM.

Lakini hata kijana aliyekuwa anatembea nae wakifanya harakati alishatekwa na Mwabukusi yupo kimya.
Rubbish.....!
 
Kanye kwanza akili irudi.

Alouelwambia mahakama kwasasa zi afanya chochote ni nani?

Hujui kafungua kesi mahakamani kuhsu Mdude na mahakama imekataa, anatakiwa kfanyaje??

Kesi ya Kibatala kuhusu Polepole.imeoshia wapi?

Hivi kabla ya lawama mna majbu yoyote kweli?

Aliyekwambia serikali za kigaidi zinaheshimu mahakama nani??
Mahakama za kimataifa zipo.
 
Back
Top Bottom