Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
uanachama wako si dhambi, ndio demokrasia na akili zenu, si dhambi!Nani UvCCM? Acha ujinga. Jikite kwenye hoja.
jivunie kuwa CDE.
uanachama wako si dhambi, ndio demokrasia na akili zenu, si dhambi!Nani UvCCM? Acha ujinga. Jikite kwenye hoja.
Mahakama za kimataia zipi?Mahakama za kimataifa zipo.
Una nyege wewe tena nyege zako zinekupanda haswaa!Kwanza watu walikuwa na matarijio makubwa sana kwamba sasa serikali ingeweza kushikishwa adabu na kufuata misingi ya kisheria.
Watu walitarajia kuwa zile kesi za kikatiba alizokuwa anazifungua Marehemu Mchungaji Mtikila zingeendelezwa na kuishikisha adabu serikali dhalimu ya CCM.
Lakini hata kijana aliyekuwa anatembea nae wakifanya harakati alishatekwa na Mwabukusi yupo kimya.
kwamba kuna mtu alikua anatarajia mropokaji kama mwabukusi angeleta mabadiliko TLS?🤣Kwanza watu walikuwa na matarijio makubwa sana kwamba sasa serikali ingeweza kushikishwa adabu na kufuata misingi ya kisheria.
Watu walitarajia kuwa zile kesi za kikatiba alizokuwa anazifungua Marehemu Mchungaji Mtikila zingeendelezwa na kuishikisha adabu serikali dhalimu ya CCM.
Lakini hata kijana aliyekuwa anatembea nae wakifanya harakati alishatekwa na Mwabukusi yupo kimya.
Umesema ukweliMarais karibia wote wa TLS huwekwa kwapani....... kwa kifupi wanafika bei !
Likitokea jambo anajifanya kutoa tamko mitandaoni ama kufanya interview na media uchawara/chawa alafu baada ya hapo humsikii tena ! Kidogo Lissu alijitahidi
Jifunze kuandika kiswahili kwanza.Unaanzisha nyuz (H) azieleweki eleweki futa (R) ludia tena kuandika
Kama ssh......Kwanza watu walikuwa na matarijio makubwa sana kwamba sasa serikali ingeweza kushikishwa adabu na kufuata misingi ya kisheria.
Watu walitarajia kuwa zile kesi za kikatiba alizokuwa anazifungua Marehemu Mchungaji Mtikila zingeendelezwa na kuishikisha adabu serikali dhalimu ya CCM.
Lakini hata kijana aliyekuwa anatembea nae wakifanya harakati alishatekwa na Mwabukusi yupo kimya.
Mkuu Idu, Idugunde , ulitarajia TLS iishikishe adabu serikali?, uliwahi kukutana kuisikia clip hii ?Kwanza watu walikuwa na matarijio makubwa sana kwamba sasa serikali ingeweza kushikishwa adabu na kufuata misingi ya kisheria.
Hizo issues zote za katiba, zimekuwa by passed by events, baada ya Rais Samia, kukubali kutuletea katiba mpya.Watu walitarajia kuwa zile kesi za kikatiba alizokuwa anazifungua Marehemu Mchungaji Mtikila zingeendelezwa na kuishikisha adabu serikali dhalimu ya CCM.
Sijamlalamikia. Nimetoa maoni yangu kama Mtanzania kwa mujibu wa ibara ya 18 ya katiba ya JMT.Watu pekee wenye mamlaka ya kumlalamikia rais wa TLS ni mawakili!. Wewe ukiwa sio wakili, huna uwezo wa kusema kuwa tangu kuanzishwa kwa TLS Mwabukusi ndio rais wa hovyo kupatikana hapa nchini!.
P
Much respect.Sijamlalamikia. Nimetoa maoni yangu kama Mtanzania kwa mujibu wa ibara ya 18 ya katiba ya JMT.
IdugundeKwanza watu walikuwa na matarijio makubwa sana kwamba sasa serikali ingeweza kushikishwa adabu na kufuata misingi ya kisheria.
Watu walitarajia kuwa zile kesi za kikatiba alizokuwa anazifungua Marehemu Mchungaji Mtikila zingeendelezwa na kuishikisha adabu serikali dhalimu ya CCM.
Lakini hata kijana aliyekuwa anatembea nae wakifanya harakati alishatekwa na Mwabukusi yupo kimya.
Mkuu Idu, Idugunde , ulitarajia TLS iishikishe adabu serikali?, uliwahi kukutana kuisikia clip hii ?
View: https://youtu.be/fZ7MWhPeyko?si=SwnAqS5U6NQlhQ4g Tujikumbushe Kauli hii ya Rais Samia Atafanya Kazi na TLS ya Aina Gani? Hizi ni Salaam kwa Mwabu,. Swali ni is He A Bow Down Type or a Stand Firm?. sasa ulitegemea rais wa TLS afanye nini?.
Hizo issues zote za katiba, zimekuwa by passed by events, baada ya Rais Samia, kukubali kutuletea katiba mpya.
Watu pekee wenye mamlaka ya kumlalamikia rais wa TLS ni mawakili!. Wewe ukiwa sio wakili, huna mamlaka ya kumlalamikia rais wa TLS, ila kauli yako hii " tangu kuanzishwa kwa TLS Mwabukusi ndio rais wa hovyo kupatikana hapa nchini!", tunaiheshimu kama ni maoni yako, hata kama hatukubaliani nayo!.
P
- Pamoja na Mapugufu Yake ya Kibinadamu Wito Wanasheria Wote, Kwenye Hili, Tusimame na Rais Wetu wa TLS Wakili Boniface Anyisile Kajujumele Mwabukusi
- Hakuna Ubishi Mwabukusi ni Mwanaharakati, Je TLS Yake Iwe ya Kiharakati, Au Asilete Harakati Zake kwenye TLS Yetu, Ibaki Kuwa Profesheno Body?
- Pongezi TLS Kumpongeza Rais Samia kwa Hatua Alizochukua Ngorongoro. Mmeonyesha Professionalism na Sio Unaharakati! Big Up Rais wa TLS
- Pongezi Makamu Rais Balozi Dr Nchimbi Kumeza Kidonge Kichungu cha Rais wa TLS, Wakili Mwabukusi kwa Viongozi Wabwatukaji wa Mambo ya October 29!