Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ni sababu mojawapo, lakini mimi nadhani sababu kubwa ni Serikali kujichotea hizo pesa za wanachama na hairudishi!Yaweza kuwa hivo sababu ya kusomesha no matajiri ili waishi kama mashetani,hivo ile michango toka kwa matajiri kila mwezi haipo,baada ya waajiriwa wengi kukosa Kazi Maana matajiri wamehamisha mitaji yao nje ya nchi sababu hawako tayari kusoma no hali wana exposure
Are you Okay! Usinitukane ukidhani uko salama ndani ya fake identintity, kama umeshindwa au ni mvivu wa kusoma na kuelewa bora uachane na mada hii kwani inahusu wazee wastaafu na wanachama.We ni mpumbavu, wakati ulikuwa ni upi ulokuwa arcetained na sheria kuwa tarehe 24 wanalipa.changes ya four days is negligible you caracature.
Are you Okay! Usinitukane ukidhani uko salama ndani ya fake identintity, kama umeshindwa au ni mvivu wa kusoma na kuelewa bora uachane na mada hii kwani inahusu wazee wastaafu na wanachama.
Nikikuhitaji nitakupata tu na utaniambia kisa cha kunitukana.
Achana na usilolijua.
Hukuuliza hela za kununua ndege zilitoka wapi. Unafikiri zilitoka kwa mjomba?NSSF ni mfuko wa jamii na pesa zilizomo kwenye mfuko huo ni za jamii ikiwa na maana si za serikali ni za wanachama.
Tangu awamu hii ya tano NSSF imekuwa ikishindwa kuwalipa kwa wakati wenye pesa zao ambao ni wastaafu, licha ya wastaafu kuwasiliana na waliojipa jukumu la kuwahifadhia lakini shirika limekuwa likishindwa kutoa jibu juu ya kushindwa huko kunasababishwa na nini. Kinachoonekana sasa ni kuwa NSSF inategemea ikusanye pesa toka kwa waajiri ili iweze kuwalipa wastaafu!
Hivyo badala ya malipo kufanyika tarehe 24 ya mwezi yanafanyika kati ya tarehe 29 na 31 ya mwezi baada ya makusanyo!
Ni vyema shirika lijitokeze hadharani na kuwajulisha wastaafu kama waendelee kutegemea pensheni zao ambayo ni halali yao au lijitangaze kuwa limefirisika ili wastaafu waondokane na usumbufu wanaoupata wa kusota kila siku kwenye vituo vya malipo.
Inaonekana NSSF imetoka kwenye jukumu lake la msingi la uhifadhi wa pesa za watu na kuziona kama ni kodi hivyo kuzitumia kwenye majukumu mengine.
Your phone and line are your identity.Wacha kutisha watu kufa na mapanya buku wenu huko
NSSF ni mfuko wa jamii na pesa zilizomo kwenye mfuko huo ni za jamii ikiwa na maana si za serikali ni za wanachama.
Tangu awamu hii ya tano NSSF imekuwa ikishindwa kuwalipa kwa wakati wenye pesa zao ambao ni wastaafu, licha ya wastaafu kuwasiliana na waliojipa jukumu la kuwahifadhia lakini shirika limekuwa likishindwa kutoa jibu juu ya kushindwa huko kunasababishwa na nini. Kinachoonekana sasa ni kuwa NSSF inategemea ikusanye pesa toka kwa waajiri ili iweze kuwalipa wastaafu!
Hivyo badala ya malipo kufanyika tarehe 24 ya mwezi yanafanyika kati ya tarehe 29 na 31 ya mwezi baada ya makusanyo!
Ni vyema shirika lijitokeze hadharani na kuwajulisha wastaafu kama waendelee kutegemea pensheni zao ambayo ni halali yao au lijitangaze kuwa limefirisika ili wastaafu waondokane na usumbufu wanaoupata wa kusota kila siku kwenye vituo vya malipo.
Inaonekana NSSF imetoka kwenye jukumu lake la msingi la uhifadhi wa pesa za watu na kuziona kama ni kodi hivyo kuzitumia kwenye majukumu mengine.
...nasikia gorofa lake pale Leaders limeuzwaSijui yule Dr.Dau alikuwa na tunguri gani, kuitoa NSSF kwenye hasara mpaka shirika la umma pekee lenye faida kubwa na maendeleo. Leo tunaliona shirika linayumba
Pointless ukusanye pesa ya mtu halafu umpangie namna ya kuchukua huu ujinga watanzania tunautoa wapi?Sasa huo ni uchizi, umesema limeshindwa at the same time umesema linawalipa tarehe 29, na 31 sasa limeshindwa au utaratibu umebadilika!?
Hata serikali syo kila wakati mshahara unawahi, mara tarehe 24-30.kumbuka nssf wanapita ktk awamu tofauti za kiuongozi lazma waweke utaratibu mzuri wa kuhudumia wastaafu
Pointless ukusanye pesa ya mtu halafu umpangie namna ya kuchukua huu ujinga watanzania tunautoa wapi?
Magufuli mjanja anapoandaa bunge la ccm watupu ili mambo kama haya wajinga kama nyie msijue haki zenuMbona unalipa kodi na huna mamlaka ya kuhoji.
Hizo ni pesa ambazo tayari zilikwishalipiwa kodi hivyo si mali ya serikali.Mbona unalipa kodi na huna mamlaka ya kuhoji.
Lakini wao si ndio wañaiweka.Kweli hili shirika lazima lijadiliwe.
Kuna wastaafu wanakaribia kupata kiharusi kwa mawazo ya figisu figisu za malipo ya mafao yao.
Ni kama kitengo cha kuhujumu na kuibia wanachama kwa kweli ni WEZI wakubwaYaweza kuwa hivo sababu ya kusomesha no matajiri ili waishi kama mashetani,hivo ile michango toka kwa matajiri kila mwezi haipo,baada ya waajiriwa wengi kukosa Kazi Maana matajiri wamehamisha mitaji yao nje ya nchi sababu hawako tayari kusoma no hali wana exposure