Tetesi: Tangu kuingia awamu hii ya tano, NSSF imekuwa ikishindwa kuwalipa kwa wakati wastaafu

NSSF huu ni wakati muafaka kwenu mtujuze hali ya pesa zetu mnazotutunzia. Hivi sasa kunamashaka ya mwenendo na usalama wa mfuko kwani dalili zimeanza kuonekana kwa wastaafu kutolipwa kwa wakati jambo ambalo waziri husika aliliongelea alipoivunja bodi ya wakurugenzi hivi karibuni, karibuni.
 
hahahaha nimetoka kwenye kikao sasa hv cha nssf kazin hapa.ni balaa na ujinga mkubwaaaaaaaaaaa
...ukiacha kazi mapewa asilimia 10.hiyo pesa nyingine iliobaki unapewa ukifika miaka 60
 
CCM hoyeeeee!

Hii inawahusu wapinzani tu!!!!!!!!

CCM endeleeni kushangilia.
 
hahahaha nimetoka kwenye kikao sasa hv cha nssf kazin hapa.ni balaa na ujinga mkubwaaaaaaaaaaa
...ukiacha kazi mapewa asilimia 10.hiyo pesa nyingine iliobaki unapewa ukifika miaka 60
Wacha wee???
Sijapitia sharia mpya ila unapewa Zaidi ya asilimia 40 kama sijakosea….
 
Shirika la hifadhi ya jamii NSSF limeshindwa kulipa kwa mda wastaafu kwa mwezi wa october. Kawaida huwa wanalipwa kuanzia tarehe 24 ya kila mwezi, lakini mpaka leo bado hawajapelekewa pesa. Je hii inaweza kuwa ni matokeo ya serikali kuchukua pesa kutoka taasisi kama hizi kibabe? Yajayo.....
 
Hii nchi imefikia pabaya mno.
...tunalazimishwa hapati chako mpaka ufikie 55 yrs....ukifikia hiyo miaka napo unababaishwa.
....huu ni uizi na laana kubwa
 
Shirika la hifadhi ya jamii NSSF limeshindwa kulipa kwa mda wastaafu kwa mwezi wa october. Kawaida huwa wanalipwa kuanzia tarehe 24 ya kila mwezi, lakini mpaka leo bado hawajapelekewa pesa. Je hii inaweza kuwa ni matokeo ya serikali kuchukua pesa kutoka taasisi kama hizi kibabe? Yajayo.....
Mkuu wanajaribu kuangalia kama kuna watakaokufa kwa presha wapunguze mzigo wa kuwalea maana wastaafu wanaishi vizuri baada ya kustaafu kuliko kabla ya kustaafu.Imagine mtu ana miaka 62 anapokea kila mwezi kitu kama 1.5 Mil halafu anao mjengo wake wa maana na miradi ya kumuingizia pesa plus watoto wake wote wameshakua unafikiri attacha kunona
 
Poleni sana wastaafu, hii ni awamu ngumu sana kwenu na watumishi wa umma.
 
Mkuu wanajaribu kuangalia kama kuna watakaokufa kwa presha wapunguze mzigo wa kuwalea maana wastaafu wanaishi vizuri baada ya kustaafu kuliko kabla ya kustaafu.Imagine mtu ana miaka 62 anapokea kila mwezi kitu kama 1.5 Mil halafu anao mjengo wake wa maana na miradi ya kumuingizia pesa plus watoto wake wote wameshakua unafikiri attacha kunona

Huyo anaepokea 1.5mil unadhani alistaafu akiwa na mshahara wa kiasi gani?acha utani ndugu.
 
We mvuta bangi au ugoro, hujafanya utafiti, hujawasikia wenyewe wanasemaje umekuja na story za abunuasi na kishetani hivi nani aliwaambia dawa ya stress ni udaku
 
Huyo anaepokea 1.5mil unadhani alistaafu akiwa na mshahara wa kiasi gani?acha utani ndugu.
Huwa ni 1/3 ya mshahara wake wa mwisho provided huo sio chini ya kima cha chini.So huyo alikuwa na mshahara wa 4.5 plus so unaona ni mtu ambaye tayari alikuwa ana kipato kizuri kiasi
 
hahahaha nimetoka kwenye kikao sasa hv cha nssf kazin hapa.ni balaa na ujinga mkubwaaaaaaaaaaa
...ukiacha kazi mapewa asilimia 10.hiyo pesa nyingine iliobaki unapewa ukifika miaka 60
Makubwaaa
 
Hivi kama mifuko hii ipo kisheria na kwamba mwajiri asipopeleka michango kwa wakati anaadhibiwa kwa kulipa faini au mwisho kupelekwa mahakamani, kwa nini sharia hiyo hiyo isiwabane mifuko ya jamii kushtakiwa kwa kutokulipa mafao ya mtu kwa wakati?
 
Kweli binadamy siyo sawa, Tz binadamu raisi km jiwe kichaa pombe akiachaa uraisi anaendelea kulipwa maisha yake yote 80% ya atakaye kuwa kwenye kiti cha uraisi, sasa shangaa binadamu km huyo na mibunge yake ndo wako mstari wa mbele kudhulumu na kuhaladaa wanaowaita wanyonge pesa zao kiduchu zilizipo nssf
 
Hivi kama mifuko hii ipo kisheria na kwamba mwajiri asipopeleka michango kwa wakati anaadhibiwa kwa kulipa faini au mwisho kupelekwa mahakamani, kwa nini sharia hiyo hiyo isiwabane mifuko ya jamii kushtakiwa kwa kutokulipa mafao ya mtu kwa wakati?
Hawa ni sawasawa na sumu Kali inayouwa kwa sekunde Moja Tu
 
Back
Top Bottom