Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM hoyeeeee!hahahaha nimetoka kwenye kikao sasa hv cha nssf kazin hapa.ni balaa na ujinga mkubwaaaaaaaaaaa
...ukiacha kazi mapewa asilimia 10.hiyo pesa nyingine iliobaki unapewa ukifika miaka 60
Wacha wee???hahahaha nimetoka kwenye kikao sasa hv cha nssf kazin hapa.ni balaa na ujinga mkubwaaaaaaaaaaa
...ukiacha kazi mapewa asilimia 10.hiyo pesa nyingine iliobaki unapewa ukifika miaka 60
Mkuu wanajaribu kuangalia kama kuna watakaokufa kwa presha wapunguze mzigo wa kuwalea maana wastaafu wanaishi vizuri baada ya kustaafu kuliko kabla ya kustaafu.Imagine mtu ana miaka 62 anapokea kila mwezi kitu kama 1.5 Mil halafu anao mjengo wake wa maana na miradi ya kumuingizia pesa plus watoto wake wote wameshakua unafikiri attacha kunonaShirika la hifadhi ya jamii NSSF limeshindwa kulipa kwa mda wastaafu kwa mwezi wa october. Kawaida huwa wanalipwa kuanzia tarehe 24 ya kila mwezi, lakini mpaka leo bado hawajapelekewa pesa. Je hii inaweza kuwa ni matokeo ya serikali kuchukua pesa kutoka taasisi kama hizi kibabe? Yajayo.....
Mkuu wanajaribu kuangalia kama kuna watakaokufa kwa presha wapunguze mzigo wa kuwalea maana wastaafu wanaishi vizuri baada ya kustaafu kuliko kabla ya kustaafu.Imagine mtu ana miaka 62 anapokea kila mwezi kitu kama 1.5 Mil halafu anao mjengo wake wa maana na miradi ya kumuingizia pesa plus watoto wake wote wameshakua unafikiri attacha kunona
Huwa ni 1/3 ya mshahara wake wa mwisho provided huo sio chini ya kima cha chini.So huyo alikuwa na mshahara wa 4.5 plus so unaona ni mtu ambaye tayari alikuwa ana kipato kizuri kiasiHuyo anaepokea 1.5mil unadhani alistaafu akiwa na mshahara wa kiasi gani?acha utani ndugu.
Makubwaaahahahaha nimetoka kwenye kikao sasa hv cha nssf kazin hapa.ni balaa na ujinga mkubwaaaaaaaaaaa
...ukiacha kazi mapewa asilimia 10.hiyo pesa nyingine iliobaki unapewa ukifika miaka 60
Hawa ni sawasawa na sumu Kali inayouwa kwa sekunde Moja TuHivi kama mifuko hii ipo kisheria na kwamba mwajiri asipopeleka michango kwa wakati anaadhibiwa kwa kulipa faini au mwisho kupelekwa mahakamani, kwa nini sharia hiyo hiyo isiwabane mifuko ya jamii kushtakiwa kwa kutokulipa mafao ya mtu kwa wakati?