Tangu lini 'fair play' ikawa lazima? Kumfungia Chama na Aziz ni upuuzi

Tangu lini 'fair play' ikawa lazima? Kumfungia Chama na Aziz ni upuuzi

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Anaandika Eddoh Kumwembe,

Unamfungia Chama, Aziz Ki mechi tatu, kisa? Walikwepa kuwapa mikono wapinzani. Na nasikia kanuni ipo kabisa, tangu lini 'fair play' ikawa lazima?

Upuuzi kwa waliotunga na kuzipokea. Kuna mambo ya umuhimu hatutekelezi, tumeona wachezaji kupeana mikono ni muhimu. Mmepita katika vyoo vya viwanja mkaona kinachoendelea?
 
walioleta kanuni na walioshiriki kuipitisha wote mazwazwa.. sikumbuki ni msimu gni ila ni EPL ilikuwa ;mchezaji wayne bridge hakumpa mkono john terry na wala haikuwa ishu sna.
 
TIFUA TIFUA wana dai waliwaona hawakutoa mikono ! Sasa ilikuwaje hawakumuona Chama alivyomchezea rafu Aucho ? tuache ujinga .
 
Upuuzi ni wa hivi vilabu kukubali kupitisha kanuni zenye adhabu ya kijinga

Bora ingebaki faini tu lakn sio kufungia mchezaji kutokushiriki mechi
 
Back
Top Bottom