Tangu lini Wizara ya Afya imekuwa ya Muungano?

Tangu lini Wizara ya Afya imekuwa ya Muungano?

Katika ripoti ya ukaguzi wa CAG imeeleza kuwa Aprili 2022 kwa mujibu wa ripoti hiyo, Wizara ya Afya iliingia mkataba na kampuni ya Zenj Motors wa ununuzi wa magari 12 ya wagonjwa yenye thamani ya Sh1.97 bilioni kwa ajili ya hospitali za Zanzibar ambao haukutekelezwa ipasavyo.

Chini ya mkataba huo, magari hayo yalitakiwa yawe yamefikishwa wizarani ndani ya siku 90 lakini hadi Novemba 2022 (zaidi ya mwaka mmoja), magari hayo yalikuwa hayajapokewa na hakuna ushahidi wa kuongezewa muda.
April 2022 hadi November 2022 imekuwa zaidi ya mwaka mmoja? Hebu piga mahesabu yako vizuri
 
Back
Top Bottom