Tangu Lissu arejee nchini hadhi ya CHADEMA kisiasa imepanda mno

share

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2008
Posts
6,063
Reaction score
10,479
Kwanza kabisa heshima kubwa iende kwa Kamanda Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA. Mbowe amefanya kazi kubwa sana kukiweka katika chati chama hiki kwa gharama ya kufilisiwa utajiri wake, kufunguliwa makesi ya hila, na kuumizwa mwili.

Kama kiongozi hajatetereka kabisa. Ni kiongozi bora kabisa wa upinzani ukanda wa Afrika Mashariki. Mwamba tuvushe. Sasa amerudi mwamba mwingine - Mhe. Tundu Lissu. Huyu mwamba tangu arudi hajapumzika.

Ni kazi kwenda mbele mpaka tunamuonea huruma. Hajali Afya yake na hasa mguu wake wa kulia uliochakazwa vibaya kwa risasi za wasiojulikana ambao kwa kweli wanafahamika. Kwake yeye kwanza ni Taifa la Tanzania.

Ujio wake na mikutano yake ya kutafuta wadhamini kugombea URAIS imekuwa na mvuto mkubwa sana, akili nyingi sana, na elimu ya uraia ya kutosha.

Kwa mtindo huu, ameipaisha mno kisiasa CHADEMA. HONGERA SANA Mhe. LISSU.

Wengine mnasemaje?
 
Chadema ni chama kikubwa; watu walivowanunua wabunge na madiwani njaa wakafikiri kazi imeisha. Siasa za ki longi na sana wataijua ngodoigwa kama si sebene, hapo tu kampeni haijaanza, eti Police aibe box la kura. Kwiyoooooo!!
 
Naunga mkono mawazo yako kongole kwa mh mboye kongolekwa mh lissu ila ndio safari imeanza na Mungu itaisha na Mungu.
 
Chadema ni tanuru la kupika viongozi wanamageuzi.
Angalia
Zitto kabwe.
Tundu Lissu.
Freeman Mbowe.
John John Mnyika.
Salum Mwalim.
Hawa ni pure breed ya CHADEMA.

Achana na yale makopo ya mbogamboga yamejaa unafiki kichwani mpaka matakoni, majizi, manafiki na mazandiki makubwa, yamejaa uroho wa madaraka mpaka ngono.( mafuasi halisi ya shetani) Mungu ayalaani yafe midomo wazi.
 
Reactions: BAK
Ni kweli chadema ilikuwa imekufa sasa imefufukaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…