Vibonde kivipi? Mashindano kama haya ya ligi ni mahesabu tu yanatumika. Hakuna faida za ziada ya kupata 100 wakati hata 81 inakupa A.Horoya sio vibonde wenzenu shehe.. ndio maana waliwala kimoja cha nguruwe na wanauwezo wakuwala tena mkizembea maana nyie ni vibonde.
Mwiko nyuma umeng'ang'ania baada ya kukukata seal ya mk......Ndugu zangu mpira ni mchezo wa wazi sana. Vipers na simba kwa pamoja walipigwa 8 mtungo na Raja Casablanca.
Hiyo inaonesha kabisa hawa ndio viazi wa kundi na ni vibonde haswaa maana mmoja alipasuliwa 3 kavu akiwa nyumbani.
Tuachane na hayo kusema ukweli mechi ya hawa vibonde ndio mechi mbovu kuwahi kuchezwa kwenye mashindano ya CAF tangu dunia iumbwe full stop.
Sawa kab.wil mumeo vipers tumempasua kibao kimoja tuJifunze kuandika kwanza ndugu inaonekana we ni kibonde kila nyanja.