Tangu mashindano ya CAF yaanze, leo ndio nimeshuhudia mpira mbovu kutoka kwa vibonde wa Raja Casablanca

Tangu mashindano ya CAF yaanze, leo ndio nimeshuhudia mpira mbovu kutoka kwa vibonde wa Raja Casablanca

Horoya sio vibonde wenzenu shehe.. ndio maana waliwala kimoja cha nguruwe na wanauwezo wakuwala tena mkizembea maana nyie ni vibonde.
Vibonde kivipi? Mashindano kama haya ya ligi ni mahesabu tu yanatumika. Hakuna faida za ziada ya kupata 100 wakati hata 81 inakupa A.

Wenzako walikuwa wanawaita hao Horoya wachovu, tukawa tunawakumbusha wapo kwenye Super Cup hao.
 
Ndugu zangu mpira ni mchezo wa wazi sana. Vipers na simba kwa pamoja walipigwa 8 mtungo na Raja Casablanca.

Hiyo inaonesha kabisa hawa ndio viazi wa kundi na ni vibonde haswaa maana mmoja alipasuliwa 3 kavu akiwa nyumbani.

Tuachane na hayo kusema ukweli mechi ya hawa vibonde ndio mechi mbovu kuwahi kuchezwa kwenye mashindano ya CAF tangu dunia iumbwe full stop.
Mwiko nyuma umeng'ang'ania baada ya kukukata seal ya mk......
 
Paka mwiko grisi Kisha ingiza tena
 
.
FB_IMG_1677425583303.jpg
 

Attachments

  • 59C11DEA-478B-49B4-8697-0A3CD555FEAE.png
    59C11DEA-478B-49B4-8697-0A3CD555FEAE.png
    138.5 KB · Views: 3
Back
Top Bottom