SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Vibonde kivipi? Mashindano kama haya ya ligi ni mahesabu tu yanatumika. Hakuna faida za ziada ya kupata 100 wakati hata 81 inakupa A.Horoya sio vibonde wenzenu shehe.. ndio maana waliwala kimoja cha nguruwe na wanauwezo wakuwala tena mkizembea maana nyie ni vibonde.
Wenzako walikuwa wanawaita hao Horoya wachovu, tukawa tunawakumbusha wapo kwenye Super Cup hao.