Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,210
aisee, kweli sasa nimeamini maximo alikuwa kocha mzuri...mzuri zaidi ya JAN PAULSEN.....kipindi cha maximo timu ilikuwa inajituma zaidi, morale ya wachezaji ilikuwa juu, timu ilikuwa na uwezo mkubwa sana wa kudefence ingawa forward ilikuwa tatizo... ila sasa ivi fprward hakuna na beki nazo zimelegea sana
Kiwango cha wachezaji kufika kuchaguliwa timu ya Taifa, kocha huwa hawafundishi kucheza mpira, kocha huwa anawanoa kushinda kuongeza kiwango cha uchezaji na mbinu.
Ikiwa mchezaji kisha fikia kiwango chake "capacity yake" hata umletee Wenger au "The one" hatofundishika.
Tanzania ili kuongeza kiwango cha soka, inatakiwa iwe na "program" ya muda mrefu, ya kuleta makocha na si kocha, kuanzia makocha wa chekechea, msingi, sekondari na kuendelea. kutengeneza viwanja vya mazoezi vyenye kiwango kinachokubalika na kubadili kabisa mfumo wa sasa wa soka ambao hauna muelekeo.
Waswahili hunena "samaki mkunje angali mbichi, akikauka humuwezi"

Mkuu Kocha huwa hafundishi mchezaji kuwa na kipaji, isipokuwa huwa anafundisha wachezaji wenye vipaji kucheza kama timu. Hayo ndio alikuwa akiyafanya Maximo. Swali ni kuwa je Paulsen ameweza kuwafundisha wachezaji wachezaji wenye kipaji kuleta matokeo mazuri?
Kwa vigezo vipi? Kwa ku-draw attention kubwa ya media? Wabongo mnapenda makelele mengi kwenye magazeti, radio na tv. Huyu danish naona hapendi matangazo tayari mshaanza kumwono hafai, lol!kwani maximo alikuwa anawafundisha????? anyway. ni kweli mipango from grassroot level inatakiwa....though ukweli Maximo alikuwa mzuri kuliko Paulsen
Nami nimestaajabu kuona Botswana wameisha-qualify fastaNimeskia wenzetu Botswana wamesha-qualify 2012..dah..sisi bana ngoma nzito aisee..tuwekeze kwene mambo yetu yalee na mambo ya ushirikian na uganga ndio tunayoyaweza. HUku kwengine ni kujipa jakamoyo tu walahi..