Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,210
Wakuu mnaofuatilia kabumbu. Kuna wakati hapa Jamvini watu walimponda sana MAXIMO kuwa ndio kikwazo kwa maendeleo ya soka, nakumbuka hata mwanasoka mmoja aliingia jamvini na kumponda Maximo.
Tuangalie sasa tangu ameondoka, Tuko wapi, Kwanza Afrika Mashariki, Afrika na hata kwenye ranki za FIFA, tumepiga hatua au tumerudi nyuma.
Tuangalie sasa tangu ameondoka, Tuko wapi, Kwanza Afrika Mashariki, Afrika na hata kwenye ranki za FIFA, tumepiga hatua au tumerudi nyuma.